Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aigooooo my dear leo ndio nimetizama namba 12 black na nilikuhaidi nikiitizamaa Nitakujibu hili jambo lako. Unadai nimekuwa mbishi kama Ha Ram Hahahahahaaaaa nacheka tu ila sikujibu.
 
Ulivyo sema tu ni ingizo jipya bila kupoteza mda nisha shusha zote nne Ila bado sijatizima hata moja samahani lakini.
 
Nawe Unavipolo Lol!!! Empress ki Ujamaliza Tuuh Mpaka Leo!?
Mi Nairudia Jumong kwa Mara Ya Tatu Lakini Kama ndo Naanza Iangalia..
usije ukamuiba ahjussi wa watu, mwanamama mwenye PHD ya sheria mrs jung seong yeon lazima akuweke jela na kwa kuwa ni song il kook nipo tayari kuwa shahidi.
Yaani episode 81 umezirejea tena kwa mara ya tatu. ugonjwa huo mpaka leo kwangu mimi haujapoa mpaka kesho nitaendelea kuangalia video za song triplets.
nyimbo za song minguk hazinichoshi hata kama mfukoni sina pesa nikiangalia video za malaika wa mji wa song do najihisi tajiri.
 
Ulivyo sema tu ni ingizo jipya bila kupoteza mda nisha shusha zote nne Ila bado sijatizima hata moja samahani lakini.
duh hatari sana laiti kama mungelikuwa munafanya hivi kwenye bongo movies basi sanaa yetu ingekuwa mbali sana.
tafadhalini naomba niwaekee kinywaji.
 
bahati mbaya sana suspicious partner sijawahi kuiangalia hadi leo hiii na nashindwa kuelewa kwa nini kwenye akili yangu haimo.
 
Daahh!!! Uko siwezi fika Ao Walooa Mtihani, Mi Nataka Awa Ambao Bado Bado Ili tusumbuane
 
EMPTY Nakumbuka Kuna Siku Ulishawahi Andika Kuwa Balck Kuna Jina Anamuita Ha Ram Ndo Nimeliskia Kwenye Episode Ya 13 Alivyokuwa Akimtafuta Huku Akimuita Ilo Jina
Hahahahaaa! Mkuu aminas usiwe una-focus sana kwenye subtitles.
Kuna mengi yatakupita.

Mimi huwa na-focus kote kote i.e Audio + Video + subtitles! Hapo ndio unapata ladha yote nzima.

CC: Damushin sunbae,
Chingu(s): Khantwe, mjr95, UHURU JR.
 
Hahahahaaa! Mkuu aminas usiwe una-focus sana kwenye subtitles.
Kuna mengi yatakupita.

Mimi huwa na-focus kote kote i.e Audio + Video + subtitles! Hapo ndio unapata ladha yote nzima.

CC: Damushin sunbae,
Chingu(s): Khantwe, mjr95, UHURU JR.
Yaah Kweli Kabisaa, Muda Mwengine Sub Huwa Inazingua Sana Tena Asa Sub Ya MyAsian..

Nami Nitaanza Kaza Masikio Kama Ninavyokazaga Mcho.
 
Yaah Kweli Kabisaa, Muda Mwengine Sub Huwa Inazingua Sana Tena Asa Sub Ya MyAsian..

Nami Nitaanza Kaza Masikio Kama Ninavyokazaga Mcho.
Kwangu hii ni rahisi kwasababu nashusha episodes ambazo hazina subtitles.

Halafu napakua subs zake na kuanza kuangalia hizo episodes huku subs zikiwa nimeziweka katikati ya screen. Natumia smartphone kuziangalia kupitia MX Player.

Hivyo nikiona subs zinazingua nabadilisha naweka nyengine. Kuna za DramaFever, VIU, Viki, etc.

Muda mwengine hutokea naangalia episode moja huko nikiwa nimeweka subtitles mbili tofauti, DramaFever & VIU.
 

  • black drama : Nipo ep 12.
  • because this is my first life : Nasubiria ep 15 & 16.
  • judge vs judge : Kwa jinsi mkuu aminas alivyoisifia, naenda kuishusha sasa hivi.
  • goblin : Kitambo nishaimaliza.
  • empress ki : Ki-commando nilikomaa nayo hadi mwisho. Ule mchozi ulionitoka hapa, mmmh!
  • kings dream : Aigoo! Mimi na Joseon ni kama pete na kidole. Naenda kuisaka niitazame.
  • meloholic : Nipo ep 6 na sibanduki hadi kieleweke.
  • joseon gunman : Siku nyingi natamani kuitazama ila bado sijafanya hivyo.
  • the great king sejong : Nikimaliza kuitazama "Dae Jang Geum" nitashusha ep 2 tatu niipime.
  • mad dog : Inatia uvivu vibaya. Nimeishia ep 4.
  • money flower : Kaka mkubwa ananifunza mengi humu. Ingewezekana basi na mimi ningeingia kwenye hiyo drama nimsaidie kufanikisha malengo! (Usishangae!)
  • secret garden : Naiweka kwenye watchlist.
  • legend of the blue sea : I only kept watching it because of Jun Ji-hyun Noona. Hyeong kazingua ile mbaya!

Damushin sunbae-nim,
Itabidi hiyo disk unipe mie 'sabubu naona umejaza viporo tele. Hahahhaaha!
 
Wapi una download sub zake? maana mie huwa nachelewa kuzidownload kwa sababu huwa wanachelewa kuweka subs hadi baada ya masaa kadhaa.
 
Hapo kwenye Meloholic aisee acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…