hi members,ni mara yangu ya kwanza kupost ndani ya jamiiforums nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mkubwa wa hii thread.kiukweli mimi ni fans mkubwa sana wa korean dramas pamoja na korean music(Kpop) na korean ost.Na ni mpenzi mkubwa sana wa sageuk drama (historical drama). muigizaji ninayempenda ni SONG IL KOOK (il gook,il guk) maarufu Jumong ambaye amezaliwa 1971.kiukweli jamaa anastahili kuwa king of historical drama kama anavyoitwa kwao korea.
katika kufuatilia kwangu hizi comment nimegundua kuna watu kumbe ni waathirika wakubwa wa hizi tamthilia zaidi yangu.Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa drama zinazozungumzia taifa la Three legged raven (Goguryeo) lililoanzishwa na mfalme Dongmyengcheon Jumong,kiukweli taifa hili ndio msingi wa Korea Peninsula na limetoa mashujaa wengi sana kuliko taifa kama Baekje, na Shilla. Fikiria mashujaa kama king damushin muhyool,king damdeok(gwaggaeto) king iron,dae jo young,yeon gaesomun,uchil muduk,yan man chun,dae jung sang(dae joyoung father) oyi,mari,hyeop bo,yeon salta,sul ji,general komu,sagal yeon, gulsabiwu,geumlan kutoka baekje,mapa chubalso n.k
Mkuu Huwezi Kuongelea The Might Kingdom of GOGURYEO Bila Kuniconsult Mimi Balozi Wa Goguryeo JamiiFORUMS Nikiitwa MO JO SAN Au Kiswagg Zaidi Sema SAN MOJO Toka Hapo Pyeongyang.
BTW Prince Muhyool Ndie Atakayekuja Kuwa King Daemushin, Pia Hao Unaosema Ni Mashujaa You Need To Note That Some Characters Kama Sagal Hyeon, Geumlan, Chubalso, Seol Ji, Seol Doan, Kina Dol Bisu Na Characters Wengineo Wengi Ambao Ukiangalia Hizi Drama Wanaonekana Kama Wamefanya A Very Big Service To The King or To A Kingdom Hawa Huongezewa Na Producers For Dramatic Purposes And Hawapo Depicted Kabisa Katika History.
Pia Hao Ambao Wapo Kama Kina Dae Jo Young, Jumong,Dae Jung Sang Na Wengine Wengi Kuna Baadhi Ya Twisting Na Adjustments Zimefanywa Ili Kuvutia Audience Au Kuleta Logic Na Kufanya Drama Iendelee.
Nitakupa Mfano GEOL SA BIWU Katika Historia Ni Mtu Wa Umri Sawa DAE JUNG SANG Na Si DAE JO YOUNG Pia Kihistoria DAE JUNG SANG Atakufa Baada Ya BIWU Lakini Katika Drama Anakufa Kabla Yake.
Ushauri Wangu Kwa Wale Wote Wapenda Historical Korean Dramas Pamoja Na Kuangalia Hizi Pia Mngekua Mnasoma The Real History behind The Drama, Kwa Sababu Waweza Kuangalia Drama Ukadhania Ilitokea Hivi Lakini Kumbe Producers Waliadjust Au Walimodify Na Kubadiisha Maana Kabisa. Mfano Mzuri Angalia Drama Mbili Zinazohusus SILLA Na Queen Seodeok Na Kim Chunchu(King Muyeol) Katika Drama Ya Queen Seondeok Chunchu Anaonekana Kama Ni Mtoto Wa Princess Cheonmyeongam, Ambaye Ni Dada Yake Na Queen Seondeok Lakini Katika Drama Ya The Great King's Dream, Chunchu Is Totally A Different Person, Pia Katika Hizo Drama Mbili Wanamunyesha BIDAM(The Greatest Rebel In Korean History) Kwa Namna Tofauti Moja Inamuonyesha Kama Mtoto Wa Lady Mishil Na Atauwawa Chini Ya Utawala Wa Queen Seondeok Wakati Nyingine Inamuonyesha Kama Ni General Aliyekuwa Anagovern A Fort Na Atakuja Kufa Chini Ya Utawala Wa Queen Jindeok, Wakati Kihistoria Alikuwa Executed Under Amri Ya Queen Jindeok.
Hii Pia Imekuwa Ni Source Ya Malumbano Baina Ya Wanahistoria Wa Korea Dhidi Ya Wanahistoria Wa China Na Japan Kwa Kua Kila Mmoja Ana Claim Historia Kivyake KWa Mfano Kuna Debate Kuhusu Goguryeo Wachina Wanasema Ilikua Ni Taifa La Watu Kutoka China Ambao Walienda Na Kuishi Mashariki Mwa Peninsula Kitu Ambacho Kinawakasirisha Sana Wakorea.
So Kama mtu Unapenda Kusoma Tafuta Vitabu Vinaitwa The Chronicles Of the Three Kingdoms Au SAMGUK YUKSA Na SAMGUK SAGI, Pia Tafuta CHRONICLES OF KORYO,CHRONICLES OF BALHAE Na Vitabu Vilivyoandikwa Kipindi Cha Ufalme Wa JOSEON. Vitabu Hivyo Vimewaelezea Hao Historical Figures Na Kuelezea Historical Events kama Hizo Battles Like Battle of Ansiseong, Battle of Gwanmiseong, Battle of Hwangsanbeol Pia Na Vita Zote Zimeelezewa Humo Like Goguryeo-Sui War, Baekje-Silla War, Silla-Tang War, Goguryeo-Tang War Etc Na Alishinda Nani Na Alitumia Mbinu Gani. So Kama Ukiangalia Hata Hizi Drama Utakuta WanaRefer Kwenye Hivi Vitabu, Kuna Yule Narrator Anasema "According To The Samguk Sagi Au To Samguk Yuksa Au To The Chronicles of Koryo....." Au Utamsikia Anasema "The History Depicts This Event/Battle Like This ...."
So Hata Ukija Kuangalia Hizi Drama Unaenjoy As You See teh History you Know Being Depicted Before Your Eyes By The Actors
KUDOS!