Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu Song il guk (Chumong) huku tumemzowea tu, kutokana tulivyo mfahamu ktk Jumong. Lakini katika Korean actors hana nafasi sana. Actors maarufu ktk martial srts ni huyu jamaa.

Choi Soo Jong

hii drama niliiangalia kwa siku 11 ndio nikaimaliza kiukweli jamaa ni hodari licha ya umri kumtupa mkono.wakati anashuti drama hii 2006 ana miaka 45. ila yule LI KAIGU wa Khitan ambaye baadae alikimbilia Tang Dynasty alimsumbua mnoo. hata lile pambamo lao lilikuwa la kuvutia katika episode ya 132
 
kuna nyingine nimekutana nayo inaitwa AGE OF WARRIORS enzi za GORYEO ina episode 158 hapa nataka nianze kuangalia leo hii.maana kuna mapigano humo ni nyokoooooo!
Hii Series ni balaa! bahatimbaya hii Series zijaimalizia na nmejaribu kuitafta sana kwa sasa sijaona, kipindi nilipokutana nayo maswala Internat na Bundle ilikuwa ni maumivu sana. kwa yeyote mwenye link ya hii Series tafadhali aniwekee hapa.
 
Dha! LI KAIGU huyu

jamaa nilimuona nuksi wakati walipo wapiga ambush wakamtandika mishale Li Kaigu mwenyew akamazia na kisu, yaani mpaka Dae joyong analia sauti hatoki anabakia kukoroma.
 
Attachments

  • likaigu.jpg
    6.1 KB · Views: 132
jamaa nilimuona nuksi wakati walipo wapiga ambush wakamtandika mishale Li Kaigu mwenyew akamazia na kisu, yaani mpaka Dae joyong analia sauti hatoki anabakia kukoroma
Ukimuangalia kwenye drama ya Giant utazidi kumchukia.ila kiukweli alimpenda sana Lady Chullin kama yum mun alivyompenda sana junghwa katika emperor of the sea(haeshin)
 
Hii Series ni balaa! bahatimbaya hii Series zijaimalizia na nmejaribu kuitafta sana kwa sasa sijaona, kipindi nilipokutana nayo maswala Internat na Bundle ilikuwa ni maumivu sana. kwa yeyote mwenye link ya hii Series tafadhali aniwekee hapa.

Shida Ni Hiyo Kwa Mfano Dae Jo Young Nimekuj KUIMalizia YouTube Can You Imagine?
Afu Hazipo Torrent, Wala Huko Sijui Gooddrama,Wala Dramafever Wala Cjui Dorama Kote Hazipo Yani Kuipata Ni Hadi ubahatishe Sana Yani.
DAMN
 
Swallow the sun....
 
Kwa vile mkuu umeisifia itabidi nikomae nayo, niliiangalia kipindi nikaiacha njiani.
 
Shida Ni Hiyo Kwa Mfano Dae Jo Young Nimekuj KUIMalizia YouTube Can You Imagine?
Afu Hazipo Torrent, Wala Huko Sijui Gooddrama,Wala Dramafever Wala Cjui Dorama Kote Hazipo Yani Kuipata Ni Hadi ubahatishe Sana Yani.
DAMN
NImebahatika Kuipta Age of Warriors at Dramanice hawa Watch Free Korean Drama, Chinese Drama , Japanese Drama at Dramanice - List Drama wanazo nyingi sana, kalini usi search ingia drama list ndio utaziona, sikuzote nilikuwa natumia search nakosa, tayari naendelea kishusha.
 
Hiyo Dramanice Mwenyewe Nimeipata Huko Pamoja Na The Six Flying Dragons.
Ila Tatizo Ni Kuwa IDM Inagoma Kudownload Ukidownload Inataka Iwe Downloaded Na Browser.
 
Hiyo Dramanice Mwenyewe Nimeipata Huko Pamoja Na The Six Flying Dragons.
Ila Tatizo Ni Kuwa IDM Inagoma Kudownload Ukidownload Inataka Iwe Downloaded Na Browser.
Angalia vzuri hiyo IDM huwenda kunatatzo ikiwezekana jaribu ku update, maana kwangu inafanya vzri tu kwenye hiyo site.
 
Angalia browser yake imepata hiyi midule na ipo enabled!
 
Angalia browser yake imepata hiyi midule na ipo enabled!
Mkuu Naelewa Na Mm Ni Mtaalamu Wa IDM Nimeshafanya Yote Na Kugusa Kote Huko.
Labda Version Hii Ya IDM Crack Inazingua KozWebsite Nyingine Zinakubali Fresh.
Nataka Nijaribu Nyingine Nimepata Kwa Guru Mmoja Wa Kompyuta Then Nitajua Whats Wrong.
 
Gu family book,
King gwaeko,
Jumong,
Dr. Jin.
Hizo ndo kali nlizoziangalia kwa karibun,,,, naipataje Iljimae?
 
Achana na IDM.... kuna browser inaitwa TORCH... ukiwa nayo hiyo huhitaji biashara za IDM tena ! INADOWNLOAD ANY VIDEO AND AUDIO inavyoonekana kwenye hiyo browser
 
Gu family book,
King gwaeko,
Jumong,
Dr. Jin.
Hizo ndo kali nlizoziangalia kwa karibun,,,, naipataje Iljimae?

Download apps inaitwa #dramania na tubemate kwenye Google mi ndo nilipoipata nimeimaliza last week
 
Nimeimaliza Empress CheonChu Ila Sijapenda The Ending.
Yani Shida Wanayopata Hawa Maproducer Kubalance Historical Facts Na Drama Sasa Muda Mwingine Wanajikuta Wakitunga Vitu Havina Hata Logic.
Kuna Huyu Anaitwa Lady Yunheung Alihusika Katika Mauaji Ya Emperor Mokjong Ila Eti Inaisha Wala Hafanywi Kitu,Like Seriously?
 
Kuna love rain duh! Gunjupyo kacheza Mara mbili nzur sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…