Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ni kweli video quality haipo vizuri na inachangiwa zaidi na uzamani wa drama kama tunavyofahamu teknolojia ya zamani na tofauti na ya leo na ya kesho.
ila drama umeionaje?
ila nakushauri iangalie mpaka itakapokutosha then ipotezee kwa muda
Mkuu inamaana ata episode za mbele ni hivyo hivyo ama za mbele ni afadhali? Drama iko poa sana hasa ukizingatia hizi za historical Drama ndio mm navutiwa nazo kiukweli kwahiyo kwa maoni yangu iko poa tu. Kuhusu kuangalia kisha niishie katikati kwakwel siwezi nashusha zote episodes 200.
 
quality ianbadilika kidogo baadhi ya episode, hahahaaaaa episode 200 ni nyingi sana kuziangalia mfululizo.
 
quality ianbadilika kidogo baadhi ya episode, hahahaaaaa episode 200 ni nyingi sana kuziangalia mfululizo.
Oooooh kumbe, Aigooooo ujue sinaga mtindo wa kukatisha drama kama nikianza kuiangalia huwa najitahidi kuangalia mpaka inaisha. Kwa hii nitapanga kila siku nitizame episodes 5 angalau In Sha Allah.
 
Oooooh kumbe, Aigooooo ujue sinaga mtindo wa kukatisha drama kama nikianza kuiangalia huwa najitahidi kuangalia mpaka inaisha. Kwa hii nitapanga kila siku nitizame episodes 5 angalau In Sha Allah.
ni wazo zuri sana ila nina wasi wasi huko mbele utaangalia hata episode 10 kwa siku.
 
Hahhahaaha!! Sio kila drama huwa nafanyaga hivyo.

Hihihihiiii! aminas njoo huku uone jinsi ninavyorithisha wakuu tabia za ki-Tasteless.
Omo Omo Omo.We Siyo Kwamba Umewarisisha.

Akikoo We!!!! (Utani).

Hwayugi Uko Ya Ngapi!???
Money flower je????
Una Drama Gani Mpya!???
 
Omo Omo Omo.We Siyo Kwamba Umewarisisha.

Akikoo We!!!! (Utani).

Hwayugi Uko Ya Ngapi!???
Money flower je????
Una Drama Gani Mpya!???
Hwayugi na Money Flower niko nayo bega kwa bega. (Hwayugi: ep 6 & Money Flower:ep 18)

Hizo dramas mbili tu ndiyo ninazofuatilia. Hakuna nyengine!
 
Hahahahhahah. Mimi bado mwanafunzi tu wa hii lugha, ingelipendeza ma expert kama ninyi mtufundishe zaidi.
fikra zako kuhusu mimi nadhani ziko mbali sana muheshimiwa wang guhn,changamoto za maisha zinanifanya nishindwe kutumia hata saa moja kwa ajili ya kujifunza hangul.nilianza vizuri sana ila baadae niliishia njiani.
nimeshasahau msingi mzima wa hangul.
 
Park Shin Hye Considering Offer To Lead New Drama By “Romantic Doctor Kim” Writer
On January 17, industry representatives reported that the actress has been cast as the female lead of upcoming SBS drama “Yeowoo Gaksibyeol” (romanized title). In response, her agency revealed that she has received the offer, but her appearance is not yet confirmed. She is currently waiting for the script.

“Yeowoo Gaksibyeol” is a melodrama that tells the story of a man and woman who meet in Seoul and help each other heal their pains as they experience music, food, and people. Park Shin Hye has been cast as the female lead Seo Hye Won, who was left alone in the world at the age of 18 when her father passed away while trying to save someone.


The drama is written by Kang Eun Kyung, the writer of “Romantic Doctor Kim” and “Gu Family Book.” It will be directed by Shin Woo Chul, who previously led “Secret Garden,” “A Gentleman’s Dignity,” and “Gu Family Book.”

“Yeowoo Gaksibyeol” is expected to air in the second half of 2018 via SBS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…