Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Mkuu inamaana ata episode za mbele ni hivyo hivyo ama za mbele ni afadhali? Drama iko poa sana hasa ukizingatia hizi za historical Drama ndio mm navutiwa nazo kiukweli kwahiyo kwa maoni yangu iko poa tu. Kuhusu kuangalia kisha niishie katikati kwakwel siwezi nashusha zote episodes 200.ni kweli video quality haipo vizuri na inachangiwa zaidi na uzamani wa drama kama tunavyofahamu teknolojia ya zamani na tofauti na ya leo na ya kesho.
ila drama umeionaje?
ila nakushauri iangalie mpaka itakapokutosha then ipotezee kwa muda