Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Haha...mie nikiangalia ongoing huwa nina drama ambayo complete inanisogeza.
Mi nikiangalia ongoing huwa nazichoka mapema sana aisee, sipendi kukatishwa utamu mie. Drama ya black ndio sikuichoka japo ilikuwa ongoing. Hiyo Drama ilikuwa ikifika Jumamosi na Jumapili nafsi inasuzika kabisa pindi nikiitizama.
 
Mie niko tofauti huwa sipendi kuangalia kwa fujo yani kwa siku kwa drama moja nikizidisha sana naangalia episode tatu,ila mara chache kutokea niangalie drama fujo mfano kama
 
Nitachukua likizo ya mda mrefu zaidi katika masuala haya ya Korea Drama hivyo ata humu huenda nisionekane. Yote kwa yote ni ubusy na hizi sarafu, Damushin ngoja na Mm nijaribu hichi kilicho kushinda kabisa.! Aya kwaheri nawatakia ufatiliaji mzuri wa kilevi pedwa.
 
Mi nikiangalia ongoing huwa nazichoka mapema sana aisee, sipendi kukatishwa utamu mie. Drama ya black ndio sikuichoka japo ilikuwa ongoing. Hiyo Drama ilikuwa ikifika Jumamosi na Jumapili nafsi inasuzika kabisa pindi nikiitizama.
M ndo nipo naitazama hiyo y mr black hakika haichoshi
 
Mie niko tofauti huwa sipendi kuangalia kwa fujo yani kwa siku kwa drama moja nikizidisha sana naangalia episode tatu,ila mara chache kutokea niangalie drama fujo mfano kama
Mfano kama............... Mi drama nikiipenda alafu ukute iko complete ni kawaida sana kushusha episodes 10 kwa siku.
 
Misty(미스티)
mjr95 sasa naweza kukualika katika hii drama.
ni jambo la kufurahisha pale unapoona veteran actors and actress bado wanapewa nafasi ya kuwa lead actor and actress kwenye drama.
ji jin hee amezaliwa miaka 45 iliopita na kwa yeyote anayefuatilia korean drama basi atakubaliana na mawazo yangu ya kwamba jamaa yupo vizuri sana kwenye kuigiza na timu nzima ya misty drama naamini hawajafanya makosa kumpa ofa,huyu ahjussi nilimpenda sana kwenye drama ya dong yi, blood drama alipoigiza uhusika wa daktari vampire na hata kwenye jewel in the palace.

niwe mkweli sijawahi kuangalia drama yeyote aliyoigiza mwanamama kim nam joo ambaye amezaliwa miaka 46 iliopita, kwa jinsi tasnia ya uigizaji nchini korea ilivyovamiwa na kpop idols ni ngumu sana kwa mwanamama mwenye umri wa miaka 46 kuwa lead actress hivyo basi bila shaka yupo vizuri ukizingatia drama yake ya mwisho kushiriki ni miaka 6 iliopita.

nimejaribu kupitia baadhi ya tovuti hii drama ya Misty asilimia kubwa ya walioanza kuiangalia wameipenda sana mtiririko wa hadithi yake.
ila mimi sidanganyiki kwa kipindi hiki ngoja niendelee kupumzika nitakuja kuitafuta siku za mbeleni hukoo.
kwa mujibu wa nielsen korea
episode ya 1 rating yake ni asilimia 3.47, hii ni rating kubwa sana kwa cable tv drama
episode ya 2 rating yake ni asilimia 5.07
hizi cable tv project zao nyingi zimefanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri sana jambo ambalo linazidisha ushindani dhidi ya public broadcasting kama KBS, MBC na SBS.
 
Huyo Ji jin hee ndiyo aliyenifanya namuelewa sana toka kwenye The Great Seer hadi Blood,hivyo nilikuwa na hamu kubwa ya kumuona tena na hamu hajaniangusha pia.
 
Aisee! mie nilipumzika sana tu maana kuna muda hata mzuka Kdrama ulikata.
 
CROSS kama bado ujaiona hii drama Na Huna Chakuangalia Puleeez Itafute hii kitu,Itafute Then Uje.
Bado hujanishawishi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]. Mara ya kwanza niliiona Cross na Misty lakin nikazipotezea balaa
 
upo sahihi nje ya sanaa ni mke halali wa ki sung yueng ambaye ni mchezaji wa swansea city ya ligi kuu ya uingereza
Huyu Bwana mdogo huwa namuona akiwa na timu ya Swansea City yapata mda sasa. Na leo ameipa ushindi timu yake kwa gori lake la pekee kabisa katika dakika ya 81 dhidi ya Club ya Burnley.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…