Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aya wale wa Ongoing Drama kuna ingizo jipya ndio kwanza ipo episode ya kwanza inaitwa Short.
 

Sijuhi Nimeonaje, Ila Najua Wasanii Wengi Wa Nje Wanafanya Hiki Kitu.

Izo Ni Bidhaa Za SHINEE Male Group, Moja Ya Member wake Ni Marehemu Jonghyun, Wanacomeback Yao FEB Hii Ambayo Itaanzia JAPAN Au Kwa Maana Nzuri Wanaconcert Feb Hii Itakayofanyika Japan Sijajua Kwa Ticket Kama Nazo Ni Sold Out Ila Izo Bidhaa Apo Juu Ni Sold Out Kabla Ata Ya Concert Wanatengeneza Ela Uku Na Uku Kila Kitu Kwao Ni Kutengeneza Ela .

Wasanii Wetu Labda Wangejaribu Kufanya Kitu Kama Ichi,Kinaweza Kisifanane Hivi Lakini Labda Kichukue Ata Theluthi Ya Hii Kitu Kinaweza Waongezea Kipato Kidogo kwa Ubongo Wangu Lakini
 
naomba mwenye links za hizi movie aweze kunisaidia hasa zikiwa ni torrent.. ila kama ni link ya kawaida pia haijalishi

golden cross
temptation of an angel
all above is Korean people
 
ni wazo zuri sana ila panatakiwa pawepo na utayari wa kufanya kazi ya uwekezaji na washauri wazuri kwenye suala la masoko, wengi wetu tunataka utajiri bila ya kusacrife akili zetu na mitaji yetu.kuna baadhi ya wasanii kwa umaarufu waliokuwa inashangaza sana kuwa mpaka leo bado umaarufu wao haulingani na kipato chao.fikiria huu ni mwaka wa ngapi celebrity kama wema sepetu,ali kiba, wapo onfire kwenye media lakini cha kusikitisha hawana mbele wala nyuma.
tunachokiweza sisi ni kula na kusifia idea za watu
kuchat instagram na kuandika kiingereza ili uonekane unatoka jiji la newcastle.
unakuta celebrity miaka 8 yupo onfire lakini kikubwa alichonacho ni team za kijinga kwenye mitandao.
ngoja nirudi joseon mimi mwenzenu mambo ya wasanii wa tanzania niliyaacha miaka 10 iliopita, wenzetu wanafanya kazi sisi bado tunakesha mitandaoni tukishindana na kukashifiana eti yupi analima mihogo mikubwa na yupi analima bamia (aigoooo sina maana hiyo).
ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…