part 1
하하하 하하하하하하하하 하 uzuri wa drama ya waikiki unanifanya niangalie bila ya kufuata mtiririko wa episode
- chale wa mchezo jun ki na doo sik baada ya kuhangaika sana wanaamua kwenda hospital kwa ajili ya kufanya kazi ya kutolewa damu na malipo yao kwa wiki ni $2000, nimecheka sana eti wanasema kumbe kazi yenyewe ni rahisi hivi,kutolewa damu tu tunalipwa pesa yote hii. wakati wengine wana damu ya kutosha lakini hawataki kuchangia damu wao ndio wameona ni chanzo chakujitengenezea fedha.hahahahahaaaaaaaa huyu jun ki atanimalizia hakiba yangu ya kutabasamu na kucheka, duh!
- kishindo walipotoka hospital kuna dawa walikula zikawabadilisha sauti basi walikutana na tax driver wakaomba usafiri, kumbe dereva wa tax naye alikuwa na tatizo la sauti kama wao jamaa akafikiri junki na doo sik wanamuigizia na kumdhihaki, hahahahahahahahahaha.
- jun ki amekwenda kwenye zoezi la mashindano ya kusaka vipaji akaigiza uhusika wa mwanajeshi akiwa vitani kumbe anayetafutwa pale ni mtu mwenye uwezo wa kuogelea, mwisho akaomba apewe nafasi nyengine na kuahidi atanyoa vinyweleo vyote kwenye mwili wake, siku ya mashindano ya kuogelea anakuja super star hajanyoa nywele hata za mnazi mmoja lakini kwa kuwa ni muogeleaji bora jun ki kaambiwa akae pembeni na nafasi yake atapewa super star, hahahahahahahhahaha mimi mwenyewe machozi yalinitoka.........mhhhh! tajiri wa kutafuta masikini wa kufanikiwa. mwisho wa siku kaishia kuwa mshabiki wa timu ya korea
- alipotafutwa muigizaji anayeweza kuigiza bed scene ndio kanimaliza, director anamuhitaji muigizjai mwenye uzito wa kg 60 na jun ki ana uzito wa kg 71, jun ki anamuahidi director kupunguza kg 10 ndani ya wiki moja ili nafasi ya kuigiza bed scene apewe yeye aigize, duh siku ya shooting mdada anayetakiwa kuigiza kapata dharura, jun ki kachanganyikiwa, baadae anajitokeza super star anamwambia director kwa kuwa shij soo jung anataka kuigiza bed scene yeye mwenyewe basi naomba nafasi unipe mimi, hahahahahahahaaaaaaaa jun ki karudi nyumbani hana furaha kwa kukosa tena nafasi.
jun ki:mbona hata mimi natumia mswaki wako baadhi ya wakati
dong soo :nimemkuta anavaa nguo za yon ah
jun ki : mbona hata mimi navaa nguo za seo jin (chewbacca)
dong soo: nimemuona anazinusa nywele za yoon ah
jun ki : mbona hata mimi nywele zako ninazinusa
dongsoo : nimemkuta ana nguo ya ndani ya mwanamke
jun ki: mbona hata mimi navaa nguo za ndani za seojin.
hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa dong sooo akaona duh huyu jamaaa ni tahira wa kutupwa.
do shik : hivi jun ki huoni tabu kukubali kuigiza pornographic movie?
jun ki : sijali ninachohitaji nipate fedha ili nimlipe dong soo
do shik : vipi kuhusu wazazi wako wakiiona movie yako?
jun ki : mimi sijali kwanza wazazi wangu wanapenda movie za erotic
do shik : vipi kuhusu mke wako hapo baadae utakapo funga ndoa?
jun ki : gwenchanah nitatafuta mwanamke anayependa movie za ngono
do shik : vipi kuhusu watoto wako?
jun ki : gwenchanayo nitaangalia nao pamoja na itakuwa vizuri zaidi kwa sababu watapata kujua sexy education wakiwa wadogooo