Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sante Ngoja Nijaribu Hii Kitu Ubarikiwe Sana
 
Mchumba wangu Manse imekuwaje tena mbona anavaa miwani
annyeong haseyo Khantwe noona.
uwezo wake wa kuona umepungua ndio maana anavaa miwani, halafu upunguze kumpiga mchumba wako yaani umesababisha meno mawili ya mbele kung'oka. najua song manse ana tabia za kuchepuka ila unapaswa umvumilie.
si unajua tena mke mmoja hatoshi kwa utamaduni wa kwetu.
 
annyeong haseyo aminas noona
naomba unipe update kuhusiana na muendelezo wa drama ya waikiki.
nimeishi wiki mbili bila ya internet
jun ki ameongeza au amepunguza vituko?
grand prince drama bado inavutia?
 
aminas noona, EMPTY dongsaeng na Khantwe noona hii new couple inavutia au haina jipya?
kim bum (29) pamoja na mwanadada oh yeon soo (31).

ila ningelifurahi kama kim bum angeliendeleza uhusiano wake na yule dada kim so eun wa kwenye boys over flower drama, nilivutiwa sana na ukaribu wao.
 
Jang Hyuk transforms into a gangster debtor.
baada ya money flower drama hatimaye jang hyuk amethibitisha kushiriki drama inayoitwa Greasy Melo.waigizaji wengine waliothibitisha kushiriki kwenye drama hiyo ambayo itaonyeshwa na kituo cha SBS ni pamoja na mwanadada jung ryeo won na 2PM’s Junho.
jang hyuk sunbae ataigiza uhusika wa Doo Chil Sung ambaye ni gangster anayejishughulisha na kukusanya madeni kwa wadaiwa kimabavu pia anamiliki mgahawa unaopika vyakula vya asili ya china.
jang hyuk amenukuliwa akisema:
ni jambo la furaha kuigiza uhusika wa doo chil sung ambaye hafuati sheria na taratibu za nchi, itakuwa ni vizuri zaidi kwangu mimi kuchanganya uhusika wa mapenzi na mapigano (action) kwenye drama hii.
Greasy Melo itaanza kuonyeshwa mwezi MAY.
 
annyeong haseyo aminas noona
naomba unipe update kuhusiana na muendelezo wa drama ya waikiki.
nimeishi wiki mbili bila ya internet
jun ki ameongeza au amepunguza vituko?
grand prince drama bado inavutia?
Grand Prince IPO Patamu Sana kinoma Yaani

Uku Jun ki Keshadata kwa Chewbacca.

Naandika kwa Usngzi Kesho InshaAllah Ntaandika Vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…