EMPTY
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 979
- 1,195
Anyeong! Nakusalimia tu, hujaelewa bado? Hihihii.Bye Bye Tena???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyeong! Nakusalimia tu, hujaelewa bado? Hihihii.Bye Bye Tena???
Sante Ngoja Nijaribu Hii Kitu Ubarikiwe SanaMi mwenyew UC imenipa sana shida lakin suluhisho ni simple sana download app moja playstore inaitwa ADM ( advance download manager hutajuta kamwe nimeotumia kama mwezi hivi chakufanya simple tu pakua episode yako kwa uc kama kawaida ikianza kudownload au hata kama iko zero kb cheki details copy file la URL then kapaste ADM start download aisee noma sana hutajuta ukishindwa nicheki tena
Ndo Salamu Ya Wapi Hiyo Ya Kuagana IvyoAnyeong! Nakusalimia tu, hujaelewa bado? Hihihii.
Wakorea wakisalimia si huwa wanafanya hivyo?Ndo Salamu Ya Wapi Hiyo Ya Kuagana Ivyo
Updated muhimuSante Ngoja Nijaribu Hii Kitu Ubarikiwe Sana
Chukua ADM holo.Sante Ngoja Nijaribu Hii Kitu Ubarikiwe Sana
Anyaeseyo My Dearest Chingu.Wakorea wakisalimia si huwa wanafanya hivyo?
Anyeong my dear chingu!
Aya Poa Aksante.Chukua ADM holo.
Utapata UcjariUpdated muhimu
[emoji123] city hunterWakuu msaada drama za kikorea za action nataka nizishushe hapa anayefaham hata 5 hv
oomoo...omooo! aighooooo[emoji2] [emoji2]Anyaeseyo My Dearest Chingu.
annyeong haseyo Khantwe noona.Mchumba wangu Manse imekuwaje tena mbona anavaa miwani
annyeong haseyo aminas noonaHahahahahahha, Damushin Umenifanya Nicheke Hatari Wakati Nasoma Aya Maelezo Ikabidi Niwe Nakumbuka Na Aya Matukio Jun Ki Ni Mweuuu Wa Mwisho Ana Ata Uzima Yaani, Ila Napenda Vile Anavyomajari Chawbacca,
Hii Drama Kuna Mtu Alishauri Uwe Unaangalia Peke Yako Maana Unaweza Kuonekana Chizi,
Grand Prince IPO Patamu Sana kinoma Yaaniannyeong haseyo aminas noona
naomba unipe update kuhusiana na muendelezo wa drama ya waikiki.
nimeishi wiki mbili bila ya internet
jun ki ameongeza au amepunguza vituko?
grand prince drama bado inavutia?