Tusubirie episode zijazo itakuaje! Wakizingua tu, naacha kuifatilia.pia nimeshangazwa sana kuona jang hyuk amepewa screen time ndogo sana ukilinganisha na muigizaji mkuu wa kike labda ni kwa sababu kwa jinsi drama inavyokwenda jang hyuk ni second lead actor baada ya 2PM junho.
pia sijafurahishwa na kitendo cha mwanamama lee mi sook kupewa screen time ndogo sana wakati kwenye money flower kwa kushirikiana na jang hyuk waliifanya iwe on fire.
Ramadhani Yenye Kheri Za Mola iwe Kwako pia.Ramadhan Kareem kwa wanafamilia wote wa kijiwe hiki cha wafuatiliaji wa Korean drama na Korean kpop haijalishi uwe ni muumini wa kiislamu au kinyume chake, naamini Tanzania itaendelea kuwa nchi ya kupigiwa mfano linapokuja suala la kuvumiliana kwenye kuabudu na tukumbuke ya kwamba utanzania wetu hautokani na dini.
Ukweli ni kwamba nimekutwa na shambulio la aibu na
Nimetimiza siku 5 bila ya kuwa na huduma ya computer suala ambalo linaniweka kwenye wakati mgumu sana kwenye shughuli zangu za kila Siku na ujumbe huu ninauandika kwa kutumia simu.Ni Mara yangu ya kwanza kuandika kwa kutumia simu ndani ya JF hivyo basi kama nime type errors naomba munivumilie.
EMPTY dongsaeng na aminas noona mumeshaimaliza pro bono case?
Aigoooo najua pro bono case mawakili hamulipwi chochote kwa sababu ni free ila mutalipwa na Mungu.
Gwenchanah nimekusudia drama ya suit wiki hii imeendeleaje?.
Song hyun chul amechukua maamuzi gani kwenye drama ya the miracle we met?
Lawless lawyer episode mbili za mwanzo zimeanza vizuri au kinyume chake?
Vipi kuhusiana na wok of love na my ahjussi?
Damushin from Waikiki guest house.
Ahadi ya futari bado haijafelishwa.
hehehehe! mara ya kwanza ku-type kwenye simu?Ramadhan Kareem kwa wanafamilia wote wa kijiwe hiki cha wafuatiliaji wa Korean drama na Korean kpop haijalishi uwe ni muumini wa kiislamu au kinyume chake, naamini Tanzania itaendelea kuwa nchi ya kupigiwa mfano linapokuja suala la kuvumiliana kwenye kuabudu na tukumbuke ya kwamba utanzania wetu hautokani na dini.
Ukweli ni kwamba nimekutwa na shambulio la aibu na
Nimetimiza siku 5 bila ya kuwa na huduma ya computer suala ambalo linaniweka kwenye wakati mgumu sana kwenye shughuli zangu za kila Siku na ujumbe huu ninauandika kwa kutumia simu.Ni Mara yangu ya kwanza kuandika kwa kutumia simu ndani ya JF hivyo basi kama nime type errors naomba munivumilie.
EMPTY dongsaeng na aminas noona mumeshaimaliza pro bono case?
Aigoooo najua pro bono case mawakili hamulipwi chochote kwa sababu ni free ila mutalipwa na Mungu.
Gwenchanah nimekusudia drama ya suit wiki hii imeendeleaje?.
Song hyun chul amechukua maamuzi gani kwenye drama ya the miracle we met?
Lawless lawyer episode mbili za mwanzo zimeanza vizuri au kinyume chake?
Vipi kuhusiana na wok of love na my ahjussi?
Damushin from Waikiki guest house.
Ahadi ya futari bado haijafelishwa.
aigoooooohehehehe! mara ya kwanza ku-type kwenye simu?
Sunbaeeeee. Gwenchanah! Gwenchanah!
mpaka muda huu namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijaalia kuendelea kutumia neema zake bila ya kulipa kodi na utukufu utabaki kwake muumba wa mbingu, ardhi na vilivyomo ndani yake.
dongsaeng hizi drama kwani tunajibia mtihani wa fasihi hata tulazimike kuzifuatilia zote?View attachment 787580
Samahani wapendwa kwa kutoweka kijiweni kwa muda usiojulikana!
Aigooo! Nadhani mnamkumbuka katika drama ya Ruler: Master of the Mask, yule mzee mkorofi aliyeshindikana.
Mara hii karudi tena kama serial murderer katika drama ya Come and Hug Me.
Ni drama yenye dk. 30 kwa kila episode na hadi sasa tupo episode ya 8.
P.S: Hii si ya kukosa
cc: Damushin sunbae & aminas
Sunbae,tokea niiangalie drama ya innocent defendant nimejikuta nikiwa katika hali ya kuzipenda drama zinazoangazia masuala ya kisheria na uhalifu (crime thriller).
list ya drama ninazozifuatilia kwa muda huu na nitakazozifuatilia ambazo zinahusiana na masuala ya uchunguzi na sheria.
- lawless lawyer
- suit (korean remake)
- secret forest (stranger): kwa ambaye hajaiangalia namshauri aitafute ndio drama bora kwa mwaka 2017
- signal : asilimia 100 waliongalia drama hii wameipa rate ya 9.9 na ndio drama bora kwa mwaka 2016, inshaallah nitaitafuta
- tunnel : nayo pia nategemea kuiangalia.
- naisubiria voice season 2
TvN na OCN wapo on fire kama real madrid.
Duuh! We NomaView attachment 788086
View attachment 788087
Baadhi ya viporo vyangu.😉🙁😵😳😕😎🙄 (shambulio la aibu)
Nianze kuendeleza ipi kati ya hizo?