Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

pia nimeshangazwa sana kuona jang hyuk amepewa screen time ndogo sana ukilinganisha na muigizaji mkuu wa kike labda ni kwa sababu kwa jinsi drama inavyokwenda jang hyuk ni second lead actor baada ya 2PM junho.
pia sijafurahishwa na kitendo cha mwanamama lee mi sook kupewa screen time ndogo sana wakati kwenye money flower kwa kushirikiana na jang hyuk waliifanya iwe on fire.
Tusubirie episode zijazo itakuaje! Wakizingua tu, naacha kuifatilia.
 
Ramadhan Kareem kwa wanafamilia wote wa kijiwe hiki cha wafuatiliaji wa Korean drama na Korean kpop haijalishi uwe ni muumini wa kiislamu au kinyume chake, naamini Tanzania itaendelea kuwa nchi ya kupigiwa mfano linapokuja suala la kuvumiliana kwenye kuabudu na tukumbuke ya kwamba utanzania wetu hautokani na dini.
Ukweli ni kwamba nimekutwa na shambulio la aibu na
Nimetimiza siku 5 bila ya kuwa na huduma ya computer suala ambalo linaniweka kwenye wakati mgumu sana kwenye shughuli zangu za kila Siku na ujumbe huu ninauandika kwa kutumia simu.Ni Mara yangu ya kwanza kuandika kwa kutumia simu ndani ya JF hivyo basi kama nime type errors naomba munivumilie.
EMPTY dongsaeng na aminas noona mumeshaimaliza pro bono case?
Aigoooo najua pro bono case mawakili hamulipwi chochote kwa sababu ni free ila mutalipwa na Mungu.
Gwenchanah nimekusudia drama ya suit wiki hii imeendeleaje?.
Song hyun chul amechukua maamuzi gani kwenye drama ya the miracle we met?
Lawless lawyer episode mbili za mwanzo zimeanza vizuri au kinyume chake?
Vipi kuhusiana na wok of love na my ahjussi?
Damushin from Waikiki guest house.
Ahadi ya futari bado haijafelishwa.
 
Ramadhani Yenye Kheri Za Mola iwe Kwako pia.

Lawless lawyer Bado sijaicheki.
Ila Suits nayo Bado.

Mwaliko Bado Upo We Karibu tuuh
 
Ramadhan Kareem kwa wanafamilia wote wa kijiwe hiki cha wafuatiliaji wa Korean drama na Korean kpop haijalishi uwe ni muumini wa kiislamu au kinyume chake, naamini Tanzania itaendelea kuwa nchi ya kupigiwa mfano linapokuja suala la kuvumiliana kwenye kuabudu na tukumbuke ya kwamba utanzania wetu hautokani na dini.
Ukweli ni kwamba nimekutwa na shambulio la aibu na
Nimetimiza siku 5 bila ya kuwa na huduma ya computer suala ambalo linaniweka kwenye wakati mgumu sana kwenye shughuli zangu za kila Siku na ujumbe huu ninauandika kwa kutumia simu.Ni Mara yangu ya kwanza kuandika kwa kutumia simu ndani ya JF hivyo basi kama nime type errors naomba munivumilie.
EMPTY dongsaeng na aminas noona mumeshaimaliza pro bono case?
Aigoooo najua pro bono case mawakili hamulipwi chochote kwa sababu ni free ila mutalipwa na Mungu.
Gwenchanah nimekusudia drama ya suit wiki hii imeendeleaje?.
Song hyun chul amechukua maamuzi gani kwenye drama ya the miracle we met?
Lawless lawyer episode mbili za mwanzo zimeanza vizuri au kinyume chake?
Vipi kuhusiana na wok of love na my ahjussi?
Damushin from Waikiki guest house.
Ahadi ya futari bado haijafelishwa.
hehehehe! mara ya kwanza ku-type kwenye simu?
Sunbaeeeee. Gwenchanah! Gwenchanah!
 
Shin Hye Sun And Yang Se Jong Confirm Casting In Upcoming SBS Drama
gong woo jin ni mvulana mwenye umri wa miaka 30 na anajishughulisha na masuala ya ubunifu.Alipokuwa na miaka 17 alipatwa na tatizo la trauma ambalo limepelekea kutokuwa tayari kujiingiza kwenye mahusiano na mtu yeyote.
msichana Woo Seo-Ri alipokuwa na miaka 17 alijikuta akishindwa kufanya jambo lolote kwa miaka 13 ya mbeleni (coma) na aliporudisha fahamu zake alijikuta mental age yake ikiwa na umri ule ule wa miaka 17 na si miaka 30.
mwishowe wawili hao walianzisha mahusiano ya kimapenzi.
drama hiyo inaitwa Thirty But Seventeen
Thirty_But_Seventeen-a00.jpg

shin hye sun

my golden life drama
stranger drama
legend of the blue sea drama
angel eyes drama
oh my ghost drama

yang sejong
romantic doctor teacher kim drama
temperature of love drama
duel drama.
 
leo nimebahatika kuanza kuiangalia drama inayoitwa doctors ambayo washiriki wakuu ni kim rae won na mwanadada park shin hye.
licha ya kuwa waigizaji hawa wawili wanaofauti kubwa ya kiumri lakini ukaribu wao umenivutia sana kwenye episode mbili za mwanzo nilizoziangalia na ni matumaini yangu itamaliza vizuri kwa kila mmoja kutimiza malengo aliyojiwekea.
kwenye hii drama mwanamama kim young ae ambaye kwa sasa ni marehemu kwa takribani mwaka mmoja ameigiza uhusika wa bibi yake park shin hye ambaye alikuwa anasumbuliwa na tatizo la cancer na cha kushangaza zaidi hata kifo chake kilitokana na ugonjwa wa pancreatic cancer.
pindi unapozaliwa watu wote wa karibu yako wanakuwa na furaha sana na pia humsifia mzazi wako kwa kazi ngumu aliyoifanya kwa miezi 9.
lakini siku ya kifo chako watu walewale watakuja huku nyuso zao zikiwa na huzuni kwa kumpoteza mwanafamilia mwenzao na pia kuwafariji wafiwa.
ubinadamu wako kwenye dunia unaanza kwa kuzaliwa na unaishia kwa kufariki, inamaana mimi siku moja nitafariki dunia na kuwafanya watu wangu wawe na huzuni kwa siku nzima kama nilivyowafanya wawe na furaha kwa siku nzima baada ya kuzaliwa.Na hiyo siku haikwepeki ni lazima itokezee ndipo ubinadamu wangu utimie.
lakini kwa nini binadamu tunasahau kwa haraka sana simulizi za kifo?
ni kwa sababu mtu akishakufa na habari zake zinakuwa zimekwisha ndio maana binadamu hatupendi kufa.
Mungu awalaze pema marehemu wote huko waliko na sisi atujaalie mwisho mwema.
  • Birthdate: April 21, 1951
  • Date of Death: April 9, 2017
ClJIRxuVYAAmpCG.jpg

Screen-Shot-2012-10-08-at-12.07.46-PM1.png
 
Damushin sunbae & chingu aminas,
Habari zenu! muko wazima?

Ndio swaumu au mumepatwa na sambulio la ****?
Ukimya umetawala kijiweni.
mpaka muda huu namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijaalia kuendelea kutumia neema zake bila ya kulipa kodi na utukufu utabaki kwake muumba wa mbingu, ardhi na vilivyomo ndani yake.
  • kwangu mimi nimekuwa kimya kwa sababu imenichukua wiki mbili bila ya kuiangalia drama ya lawless lawyer kwa sababu ya kuchelewa kwa subtitle hivyo basi sina cha kukijadili kupitia drama hiyo.
  • pia ukiachana na lawless lawyer nimeamua kutokufuatilia drama yoyote mpya kwa kipindi hiki.
  • pia nimeamua nisiifuatilie tena drama ya wok of love kwa sababu ni drama ambayo hadithi yake hainivutii.
  • wiki iliopita ilikuwa ndio mwisho wa drama ya my mister (ahjussi), hivyo basi ni drama mbili tu ambazo nazifuatilia kwa sasa ambazo bado zinaendelea nazo ni the miracle we met na suit.
  • leo nimefanikiwa kuzihifadhi episode 2 za mwanzo za drama inayoitwa secret forest ya mwaka 2017, mnamo tarehe 3/5 drama hii ilichaguliwa kuwa ni drama bora kwa mwaka 2017/2018.
Secret_Forest-p1.jpg

Hwang Shi-Mok (Cho Seung-Woo) had brain surgery when he was a child, which caused him to lack emotion. Now, Hwang Shi-Mok works as a prosecutor. He is rational, but cold and lonely. He is also one of the only prosecutors not involved in corruption. One day, a dead body is thrown in front of him. He meets Police Lieutenant Han Yeo-Jin (Bae Doo-Na) at a murder crime scene. They work together to eradicate corruption at the prosecutor's office and solve a serial murder case.
Awards
 
Meghan-Markle-Wallpaper_-2.jpg

kumbe huyu dada meghan markle aliyeolewa na mwana wa mfalme wa uingereza ndiye ameigiza uhusika wa paralegal kwenye series ya SUIT ya marekani akitumia jina la Rachel Zane,maisha yanakwenda kwa kasi sana zaidi ya mwanga wa radi.
x6ZcJAC.jpg

kwnye suit remake ya korea nafasi ya paralegal ameigiza ko sung hee na anatumia jina la kim ji na. nimeanza kunusa harufu ya mahusiano kati ya kim ji na pamoja na go yeon woo.

A paralegal is an individual, qualified by education, training or work experience, who is employed or retained by a lawyer, law office, corporation, governmental agency, or other entity and who performs specifically delegated substantive legal work for which a lawyer is responsible.
 
Yoon So Hee Confirmed For New MBN Drama
Yoon-So-Hee.jpg

On May 23, a source from MBN said, “Yoon So Hee is planning to appear in the new drama ‘Witch’s Love’ (literal title). It will air in July as the follow-up drama to ‘Rich Man, Poor Woman.'”

“Witch’s Love” will be a mystery romantic comedy that tells the stories of witches as they explore romance. Yoon So Hee will play the role of a rice soup delivery person and a nosy witch named Kang Cho Hong.
This will be Yoon So Hee’s comeback to dramas one year after she last appeared in MBC’s “The Emperor: Owner of the Mask.”
3e27375c8aa6b57c5207ab9ca29f825f3fc22787_hq.jpg
 
EMPTY dongsaeng ujumbe wako wa mwisho ndani ya thread hii ulisema ya kwamba tumepotea kwenye thread tokea ramadhan ilipoanza, nadhani wewe ndiye uliyepotea au ndio upo kwenye harakati za kutafuta girisi ili ulainishe vyuma?
kuna jambo limenishangaza sana ambalo nimeligundua baada ya kuangalia drama za korea kwa kipindi kirefu.
aigooooooo
huku kwetu movies nyingi sana wahuni wanavaa mavazi yenye rangi nyeusi lakini ukiangalia drama za korea zinazozungumzia ndani yake stori za wakopeshaji binafsi wa fedha (loan shark gangs) utagundua wengi wao wanavaa mashati yenye mchanganyiko wa rangi
halafu hata kama bosi wao atakuwa ni mdogo kiumri basi watumishi watamwita hyungnim
hahahahahahaaaaaaaa kweli harufu ya pesa ni nzuri sana kuliko harufu ya asumini..
DeBla9UVQAUZqoA.jpg

Wok-of-Love-1.jpg
 
come-and-hug-me2.jpg

Samahani wapendwa kwa kutoweka kijiweni kwa muda usiojulikana!
Aigooo! Nadhani mnamkumbuka katika drama ya Ruler: Master of the Mask, yule mzee mkorofi aliyeshindikana.

Mara hii karudi tena kama serial murderer katika drama ya Come and Hug Me.
Ni drama yenye dk. 30 kwa kila episode na hadi sasa tupo episode ya 8.

P.S: Hii si ya kukosa

cc: Damushin sunbae & aminas
 
View attachment 787580

dongsaeng hizi drama kwani tunajibia mtihani wa fasihi hata tulazimike kuzifuatilia zote?
uyo lead actor alikuwemo kwenye drama ya my mister na alikuwa akimsumbua na kumtesa sana mwanadada lee ji an (IU).
kupitia thread hii wewe ndiye mpimaji viwango wa korean drama na kwa kuwa umeiona ni nzuri basi ngoja niitafute.
kwa mujibu wa mtandao wa asianwiki ni kwamba nam joo hyuk na bae suzy ndio wa kwanza kupewa nafasi ya kuigiza drama hiyo lakini walikataa.
uyo mzee mara yangu ya kwanza kumuona ni kwenye drama ya jumong alipoigiza uhusika wa haemosu, omo omo omo wakati huo ndio naanza elimu ya nursery ya korean drama.
daebak..........
kwenye ruler master of the mask walikuwa wanamwita Daemok oerisin
2006092511414820856_1.jpg
 
Memories of Alhambra
I am going to Spain."
DeA7ho6V4AAMjKk

CJ E & M wametangaza drama watakazozionyesha kwa nusu ya pili ya mwaka kupitia kituo cha TvN ambapo kuanzia mwezi july wataonyesha drama ya MR SUNSHINE na baadae mwezi november wataionyesha drama ya memories of alhambara ambayo pia Netflix wana haki miliki.
kuanzia 28/5 hadi 1/06/2018 memories of alhambras production team watakuwepo mjini granada spain kwa ajili ya kurekodi sehemu ya drama hiyo.
granada-netflix.jpg

meya wa mji wa granada Francisco Cuenca amesema:
ni heshima kubwa sana kwa jiji letu kuchaguliwa kama ni sehemu ya film location na netflix ambayo ina watumiaji zaidi ya million 117 duniani na naamini kwa wiki moja watakayokuwepo itakuwa ni kichocheo kwa mji wetu kuzidi kuwavutia wageni.
kwa mujibu wa mtandao mmoja nchini spain inasemekana ndani ya siku 5 mji huo unatazamiwa kuingiza kiasi cha 1,179,051.00 US Dollars
El rodaje de una serie coreana para Netflix dejará en la ciudad un millón de euros en cinco días
Hyun-Bin2.jpg

starring
hyun bin (secret garden, hyde jekill and me)
park shin hye
EXO chanyeol = kpop singer
 
tokea niiangalie drama ya innocent defendant nimejikuta nikiwa katika hali ya kuzipenda drama zinazoangazia masuala ya kisheria na uhalifu (crime thriller).
list ya drama ninazozifuatilia kwa muda huu na nitakazozifuatilia ambazo zinahusiana na masuala ya uchunguzi na sheria.
  • lawless lawyer
  • suit (korean remake)
  • secret forest (stranger): kwa ambaye hajaiangalia namshauri aitafute ndio drama bora kwa mwaka 2017
  • signal : asilimia 100 waliongalia drama hii wameipa rate ya 9.9 na ndio drama bora kwa mwaka 2016, inshaallah nitaitafuta
  • tunnel : nayo pia nategemea kuiangalia.
  • naisubiria voice season 2
signal2.jpg

TvN na OCN wapo on fire kama real madrid.
 
nonsan city ndio mji unaotumika kama ni film production kupitia drama ya MR SUNSHINE.
ni eneo lililojengwa kwa gharama ya 10 million dollar kwa takriban miaka mitatu na m,fumo wa majengo yake ni ya miaka ya 1950.
mji huo unatembelewa na watalii 1.3 millioni kwa mwaka
nonsan2740.jpg

wenye lugha yao wanasema ukitaka uzuri sharti uzurike.
 
tokea niiangalie drama ya innocent defendant nimejikuta nikiwa katika hali ya kuzipenda drama zinazoangazia masuala ya kisheria na uhalifu (crime thriller).
list ya drama ninazozifuatilia kwa muda huu na nitakazozifuatilia ambazo zinahusiana na masuala ya uchunguzi na sheria.
  • lawless lawyer
  • suit (korean remake)
  • secret forest (stranger): kwa ambaye hajaiangalia namshauri aitafute ndio drama bora kwa mwaka 2017
  • signal : asilimia 100 waliongalia drama hii wameipa rate ya 9.9 na ndio drama bora kwa mwaka 2016, inshaallah nitaitafuta
  • tunnel : nayo pia nategemea kuiangalia.
  • naisubiria voice season 2
signal2.jpg

TvN na OCN wapo on fire kama real madrid.
Sunbae,
Suits drama ep ya 9 hadi 10 mambo yashaanza kuharibika.
Ile spidi ya Hwasong waliyoanza nayo imeanza kupungua taratibu, hizi episodes mbili za juzi zimekuwa tofauti kabisa. Sijui nini tatizo?
 
Back
Top Bottom