Ramadhan Kareem kwa wanafamilia wote wa kijiwe hiki cha wafuatiliaji wa Korean drama na Korean kpop haijalishi uwe ni muumini wa kiislamu au kinyume chake, naamini Tanzania itaendelea kuwa nchi ya kupigiwa mfano linapokuja suala la kuvumiliana kwenye kuabudu na tukumbuke ya kwamba utanzania wetu hautokani na dini.
Ukweli ni kwamba nimekutwa na shambulio la aibu na
Nimetimiza siku 5 bila ya kuwa na huduma ya computer suala ambalo linaniweka kwenye wakati mgumu sana kwenye shughuli zangu za kila Siku na ujumbe huu ninauandika kwa kutumia simu.Ni Mara yangu ya kwanza kuandika kwa kutumia simu ndani ya JF hivyo basi kama nime type errors naomba munivumilie.
EMPTY dongsaeng na
aminas noona mumeshaimaliza pro bono case?
Aigoooo najua pro bono case mawakili hamulipwi chochote kwa sababu ni free ila mutalipwa na Mungu.
Gwenchanah nimekusudia drama ya suit wiki hii imeendeleaje?.
Song hyun chul amechukua maamuzi gani kwenye drama ya the miracle we met?
Lawless lawyer episode mbili za mwanzo zimeanza vizuri au kinyume chake?
Vipi kuhusiana na wok of love na my ahjussi?
Damushin from Waikiki guest house.
Ahadi ya futari bado haijafelishwa.