Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mtu Na Shemeji Yake!

Kwaiyo Umu Kama Kuna Scene Za Kiss Watakiss Kweli?? Nauliza
 
Mi Natamni Kweli Kumshuhudia Kwa Macho Uyu BinAdamu
 
Mtu Na Shemeji Yake!

Kwaiyo Umu Kama Kuna Scene Za Kiss Watakiss Kweli?? Nauliza
siku hizi mpaka historical drama zina kiss scene licha ya kuwa wanavaa mapazia.
tena itapendeza zaidi wote watatu waangalie drama wakiwa pamoja licha ya kuwa hizi drama zinaonyeshwa saa 4 usiku.
song hye kyo : bo gum kumbe wewe ni mshamba kweli mpaka leo hii hujui ku kiss.
park bo gum : nilikuwa namuogopa shemegi asije akavunja ndoa na urafiki wetu
song joong ki: gwenchanah gwenchanh na mimi nitatatufa project yenye romantic scene nyingi
 
Seo Ji Hye Confirms Lead Role For Upcoming Medical Drama
ndiye atakayekuwa muigizaji mkuu wa kike kwenye SBS’s new drama, ‘Thoracic Surgery’.
ataigiza uhusika wa Yoon Soo Yeon ambaye ni thoracic surgical assistant kwenye hospitali ya Taesan.
beautiful sharon aliyejaa wivu wa mapenzi kwenye black knight drama.
 
Iyo Comment Ya Kwanza Duuh!
Mi nimeangalia Episode 1 Japo Bado Sijaimaliza, Ila Ni Kweli Ipo Kama Movie.
 
Dunia hii usipokuwa na pesa kitu pekee unachoweza kukifanya ni kulala kama maiti, huwezi kutimiza ndoto yoyote hata kama upo usingizini.(woo soo ji)

Hahahaha!!!
 
Hmmhh! Sema Wataoneana Aibu Sana, Ye Akitoka Apo Anamchek Broo Wake Anamwambia Nini Kuhusu Scene Za Leo LOL!
 
hahahahahahahaaaa we mwanamke utanimalizia bando langu la kutabasamu.
unadhani nimeamkia wapi?
Unaonekana Tuuh Leo Ujaamkia Nyumbani.

Labda Ulieenda Pokea Ndege, Ukapitiliza Mpkaa Seoul! Naskia Kutakuwa Na Safari Za Uko!
 
Dah! hii quote ya sunbae imenifanya nicheke kama mwehu.
Hahhahhhaaahhhha!!
 


Ambaye Hajaiona Hii Kitu Jamni Aitafute, Bonge La Drama, Best Production Ni Kitu Kizuri Sana Yaani,Ni Zaidi Ya Movie..Hahaha! TvN Ni Wanakuja Kwa Kasi Balaa, Hii Drama Ni Bora. Nimependa yule Mzungu Anaeongea Kikorea Yaani nikajikuta Namuona Chingu Damushin Nayeye Akialikwa Korea Na Jumo Atakuwa Anaongea Kama Ivyo.

 

Mwanzoni Nilijua Chakike Kumbe Chakiume,
Kimecheza Kikubwa Umu Japo Kidonyo..Eugene Mdogo
 
Seo Kang-Joon & Esom cast in JTBC drama "The Third Charm"
  • ni love story kati ya On Joon-Young na lee young jae.
  • on yoo jang ni mwanafunzi wa chuo ambaye havutiwi kabisa na maisha ya uwanamitindo, ni mwanafunzi ambaye hajalia amevaa kivazi gani au amevaa kiatu cha kampuni gani.
  • young jae ni binti ambaye ndoto yake kubwa ni siku moja awe ni mtu tajiri sana ambaye amekulia maisha yake bila ya wazazi.ni msichana ambaye aliamua kujishughulkisha zaidi na kazi kuliko kwenda chuo kikuu.
  • siku moja rafiki yake akamkutanisha na mwanafunzi wa chuo ambaye alikuwa ni joon young ili wawe wachumba (blind date) ila bahati mbaya walipokutana siku hiyo hakuvutiwa na muonekano wa joon young kwa sababu jamaa si unajua hana muda hata wa kunyoosha shati lake pasi japokuwa anaishi dunia ya ukweli.
 
2 BIC : 2 be continue
nilianza kuwafahamu hawa jamaa kwa msaada wa mwanadada anayeitwa Nifah kupitia ost inayoitwa im in love ambayo wameimba kwenye drama ya good doctor.
huku kwetu tanzania kuna jamaa ana mwili unaofanana na watu hawa wawili lakini mwili wake anautumia zaidi kwenye ishu za umbeya.
wiki iliopita kupitia drama ya are you human too wamerelease wimbo unaoitwa heart ambao ni ost 4.
hawa jamaa kwa unene walionao laiti wangelikuwepo zenji nahisi kifungua kinywa chao ni mwendo wa bakuli tatu za urojo kila siku.
aminas hivi huko kwenu maroboti wa kike hawauzwi?
wa kiume simuhitaji kwa sababu nahofia atakuja kunipindua.
marafiki nimedhamiria kuchukua likizo takribani ya wiki 3, utakapoona sijibu notifications usije ukadhani nimekupuuza kuanzia siku ya kesho.
korean drama forever
 
Twende Wote kwenye hiyo likizo.

Robot Anamgeuka Mom Wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…