Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nasikitika Kusema Kuwa Siiangalii..
 
Ila Watu wanaisifia Sana,ila Nilikuwa Nampango Wakuiangalia Baada Ya My Ahjussi Kuimaliza.
 
comedy nyengine hii imeanza jumatano, aigooo ukiwa na boss kama huyu si vibaya ukamuombea kifo ili uondokane na balaa lake.
hahahahahaaaaaa kama baadhi ya watu wa mkoa ule wanvyomuombea mungu wao aondolewe madarakani.
kang ji hwan ni mjinga sana.
nimejikuta namkumbuka dada yangu Prishaz alikuwa ni mshabiki mkubwa sana wa kang ji hwan humu ndani.
Feel Good To Die
Lee Roo-Da (Baek Jin-Hee) tries to reform her boss Baek Jin-Sang (Kang Ji-Hwan) to become a better person and a better boss.
Baek Jin-Sang is Lee Roo-Da’s boss and he works as a team leader of a company. The team members, including Lee Roo-Da, do not like him at all. He is mean and arrogant to the employees. He always believes he is right. On the night of November 7th, Lee Roo-Da has a dream of her boss being hit by a truck. The next morning she wakes up and finds that it is still November 7th.
 
Noona anasema asante sana kwa kumkumbuka, huyu mtu namkubali sana mpaka sasa ingawa sijaona drama zake nyingi. Kwani hii comedy unaiangalizia wapi? Noona anakusalimia kwa upendo ule ule
 
Noona anasema asante sana kwa kumkumbuka, huyu mtu namkubali sana mpaka sasa ingawa sijaona drama zake nyingi. Kwani hii comedy unaiangalizia wapi? Noona anakusalimia kwa upendo ule ule
ahsante sana noona unajua siwezi kukusahau kizembe zembe kama wanavyofanya baadhi ya wanadamu waliotajirika ghafla na hatimaye kuwachukulia wale masikini wengine ni pimbi na wasio jituma.
  1. Watch Feel Good To Die Episode 1 online at Dramanice
  2. Watch Feel Good To Die Episode 2 online at Dramanice
 

Sijasema ni mbaya bhana,ni vile tu nimeona kama ni overrated. Imekuwa popular sana,imetikisa sana ila haijafanikiwa kunitikisa kihivyo.

Anyways,nakaribia kumalizana na Dong Yi kisha nianze Mr. Sunshine.
Naomba uniwekee vyuma vitatu vikali vya historical niangalie maana kiukweli navutiwa zaidi na drama za vijijini kuliko hizi za umjini-mjini.
Naomba viwe vikali kwelikweli maana nakuaminia,episode zisivuke 60 please maana Dae Joyoung niliishiaga njiani sababu ya episode nyingi na najuta maana nimeitafuta sana siipati tena.
 
Naandika kwa herufi kubwa kabisa..


I MISSED YOU SISTER..[emoji22]
 
Yan dr.heo jin ni drama ambayo siwez isahau na sijui Kama nitaona drama nyingine yenye hisia zakwel,, some time imenifanya nidondoshe choz,,,R.I.P bro
 
Kuna hii movie ya Admiral naipata site gan yenye subtitle,maana niliishisha lkn haikuwa na subtitle,pili naomba naomba msaada wa kuweka subtitle kwenye movie au series,jumapili njema wote
 
Nifah noona anakusabahi, umenikwaza sana hukuwa umeiona Dong Yi mpaka sasa, naipenda mnooo nilishairudia mara kadhaa huwa siichoki kabisa. Enjoy hun, love from this side.
 
aminas nazipataje hizi Korean series? Na Mimi ni muhitaji wa hizi Kitu!
Unahitaji Sites Za Kuangalia!?
Kama Ni Sites Jaribu Hizi

MyAsianTv.Se. Mara Nyingi Huwa Natumia

Hii Drama Yeyote Unayohitaji Ambayo Ni Miaka Hii Ya Karibuni Utaikuta Apa

Kissasian.Com Nayo hii Huwa Naitumia Mara Nyingi kwenye Zile Za Zamni Kidogo

Hizi ndo Site Mara Nyingi Natumia! Zengine Damushin Chinguya Help.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…