Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Duh mr sunshine ya kawaida sana najutia MB zangu basi tu naendelea nayo kuvizia kiss scene. Bunduki za nini sasa humo aaah
tatizo lako unaiangalia nyakati ambazo umeshakula bakuli la wali na supu kama mdogo wako meok goo kwa pesa ya governor.
teh teh teh.
 
[emoji23][emoji23]ushanikatisha tamaa,ngoja nitafute nyingine
mimi nilianzisha kampeni ya kutaka angalau wale wazee wawili wanaomtumikia go aesin na familia yake washikane mikono japo mara moja basi director akaamua ile siku wanayotaka kushikana mikono iwe siku yao kifo.
sasa wewe unayetaka kiss 💋 subiri season 2.
teh teh teh kwi kwi kwi kwoo kwoo
kicheko kipya cha kupata mkopo wa worldii benkiii.
 
HIZI DRAMA SERIES ZILIZOANGALIWA NA WATABE TU
1.Emperor wang gun
2.Age of warriors
3.king daejoyeong
4. Immortal Adimiral yi sun sin
5.yeom gae somun
 
HIZI DRAMA SERIES ZILIZOANGALIWA NA WATABE TU
1.Emperor wang gun
2.Age of warriors
3.king daejoyeong
4. Immortal Adimiral yi sun sin
5.yeom gae somun
  • ni wapi nitaweza kuipata drama inayozungumzia maisha ya yeon gae somun ikiwa na subtitle?
  • kwa uoni wako uyo jamaa alikuwa ni shujaaa wa goguryeo au ni dikteta?
  • hivi huwezi kuwa shujaa wa nchi bila ya kuwa na nyadhifa kubwa serikalini?
  • kuna uhusiano gani kati ya ushujaa na kupenda madaraka?
 
Yeon gaesomun haina sabtitle kwa wale wateja wa free. Ila kwa premium utainunua ikiwa na sabtitle.
Mm niliangalia episodes za mwanzo mwanzo tu na wala sikuimaliza (lugha gongana)
YEOM GAESOMUN hakua tofauti wa wale mawaria wa goryeo kipindi cha military rule ukimtoa overlord wa tatu Gyeong Dae-seung . Wote walikuwa ni madicteta na ni wapenda madaraka tu.
 
Msaada kwa aliye group la whatsapp la hizi drama za kikorea anifanyie wepesi pls
(Zenye subtitle au zilizotafriwa kabisa kwa sababu KIKOREA NI QWERE wakuu)
 
Hahahahhaa halafu tatizo lenyewe niliikurupukia nikiwa na matarajio makubwa kama ya lady Ae-sin akidhan Eugene choi ni mtaalamu wa kikorea hadi kwenye kuandika kumbe hola
tatizo lako unaiangalia nyakati ambazo umeshakula bakuli la wali na supu kama mdogo wako meok goo kwa pesa ya governor.
teh teh teh.
 
Total disappointed kukosa kiss scenes kama kim hui-seong aliporud hotelin na barua yake ya posa,so sad kikorea bila kiss hakijakamilika kabisaaa
 
Kuna hii movie ya Admiral naipata site gan yenye subtitle,maana niliishisha lkn haikuwa na subtitle,pili naomba naomba msaada wa kuweka subtitle kwenye movie au series,jumapili njema wote
Yan naitafuta hii daah
 
Angalia horse doctor uta enjoy pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…