nimerudi tena....
hivi umekusudia application au website?
Zote website na app ilimradi tu nidownload drama.nina wasiwasi huenda amekusudia website...
si unajua tena huyo rafiki huwa hatabiriki kama juisi ya mabungo.
Naona siku hizi Numbisa umekuwa mpole na mstaharabu hivyo ndo unavyotakiwa big up kwa Hilo 👏👏👏 ila mwenzetu Daemusin sijui siku hizi jini mtakafujo amefanya collabo na Khadija koppa kwenye kichwa Chake ndo maana amekuwa mtu wa Shari na mipasho tujaribu kumuombea inawezekana akarudi kwenye hali yake kawaida.Aende play store aandike downloader achague mbili atakazoona nzuri azitumie kuvutia movie ila kissiassian siku hizi inazingua ukiingia na down loader yoyote lazima iconfirm kila muda(step) inakutaka usubiri
Asante mkuu hapa ndo nakupendeaga.
- http://kissasian.sh/
- Dramanice - Watch asian drama online free - Asian movies english sub
- Dramacool | Asian Drama, Movies and Shows English Sub Full HD
- Asian Drama - Movies and Shows
- Korean Variety Shows (kama ni mpenzi wa korean variety show itakufaa)
- Watch Korean drama online, Korean drama English subtitle
- DaebakDrama – Watch Korean Dramas and Movies with English Subtitles
- Kseries.net - Watch Asian Dramas(Fastest Kdrama Source), Shows And Movies
Naona siku hizi Numbisa umekuwa mpole na mstaharabu hivyo ndo unavyotakiwa big up kwa Hilo 👏👏👏 ila mwenzetu Daemusin sijui siku hizi jini mtakafujo amefanya collabo na Khadija koppa kwenye kichwa Chake ndo maana amekuwa mtu wa Shari na mipasho tujaribu kumuombea inawezekana akarudi kwenye hali yake kawaida.
Hapo juu nimekuponda cos ulinipa mipasho lakini katika masuala ya kutoa linki au msaada fulani unakuwa upo vizuri na sharp.lakini hapo juu umeniponda......
unataka msaada gani mwengine?
au nikuletee habari za ha ji won, nimesikia amechumbiwa na mwanaume kutoka Tanzania...
Kama ningepewa fursa ya kuchagua kumuoa mwanamke yoyote sitaangaika kwenda Brazil Wala USA Bali nitaenda kwa mwanadada mrembo aliyepitiliza ninae mkubali kuliko celebrity yoyote duniani mwenye sura ya upole, mnyenyekevu kwa namna nilivyomfuatilia,mwenye tabasamu la kutoa stress, sauti yake unaweza kuiombea mkopo benki ukapewa bila tatizo bila hata kuwepo riba, macho yake akikutazama unaweza ukahisi upo mbinguni kumbe upo duniani, mtoto ana miguu soft utazani anaiweka kwenye eisii muda wote si mwingine Bali ni mwanadada Ha ji won ninayemzungumzia kutoka South Korea.lakini hapo juu umeniponda......
unataka msaada gani mwengine?
au nikuletee habari za ha ji won, nimesikia amechumbiwa na mwanaume kutoka Tanzania...
Hahahah, Kuwafanya watu kuwa na furaha, ni mapambano tosha. Wadhani watu wanahitaji nini zaidi kama si matumaini ambayo huleta amani na Furaha?, Je! Mabomba ya kutoa Maziwa na maji Nchi nzima ndio vitatupa amani ya moyo?😂 je! ni utajiri wa Fedha na madini?😁😁😁 Maisha ya kinafiki miye siyawezi, Eti "nitawajengea Nyumba kila mmoja wenu na Mashamba yenu yatamwagiliwa kwa Helicopter", " Je?! Mtanipa", "Ndiyo tutakupa"😁😁.werevu hawajishughulishi na harakati za kisiasa hatimaye wajinga wamebeba nafasi kwa niaba yao
mwerevu anapokataa fursa ya kuwapigania wananchi wake huwa hana utofauti wowote na mpumbavu.
shikamoo mpumbavu mtarajiwa2020ElectionTwendeNaDaemusin
wanasemaje huko pyongyang?
hivi corona virus wameshafika huko?
kwetu seoul wameshafika
😁 Muhuni wewe😂😂2020ElectionTwendeNaDaemusin
Kama ningepewa fursa ya kuchagua kumuoa mwanamke yoyote sitaangaika kwenda Brazil Wala USA Bali nitaenda kwa mwanadada mrembo aliyepitiliza ninae mkubali kuliko celebrity yoyote duniani mwenye sura ya upole, mnyenyekevu kwa namna nilivyomfuatilia,mwenye tabasamu la kutoa stress, sauti yake unaweza kuiombea mkopo benki ukapewa bila tatizo bila hata kuwepo riba, macho yake akikutazama unaweza ukahisi upo mbinguni kumbe upo duniani, mtoto ana miguu soft utazani anaiweka kwenye eisii muda wote si mwingine Bali ni mwanadada Ha ji won ninayemzungumzia kutoka South Korea.
Yah sifa zote ni zake kwani Kuna mwingine zaidi yake?
Kwanza kabisa nikusahihishe hapo kwenye umri me nimezaliwa mwaka 1996 na sio mwaka 2000 na katika mapenzi hayana mambo ya umri ni suala tu la kupendana na kuheshimiana alafu Hawa ambao umri umeenda hawana mambo mengi Kama rika la kina Numbisa.Ukimuangalia Ha ji won ni Kama binti wa miaka 25 pata picha halisi binti wa hiyo miaka akifika umri wa Ha ji won atakuaje? Na muda unavyozidi kwenda Ha ji won anazidi tu kun'gaa wakati Kuna wengine wanazidi kuzeeka Kama dada yetu hapa bongo Wema sepetu.Dah! nilifikiri utamchagua hawara wa boss kubwa mwenye mafanikio nchini Tanzania....
tanasha sembe (dona) the platinamuzbrother hujisikii aibu kumweka kwenye fikra zako mwanamke mwenye miaka 41 ya kuzaliwa.....
kumbuka umri wako wewe ni nusu ya umri wa mupenzi mtarajiwa from gwanghanum street.
kwa mujibu wa simulizi kutoka kwa Numbisa inasemekana umezaliwa mwaka 2000.
kwa taarifa yako raisi wa ufaransa anachepuka /atachepuka na vibinti vidogo.
endelea kupenda vizee ili uwe na fikra za kizee
celine dion = love doesn't ask why
Kwa hapa bongo mwanamke ambaye ana umri mkubwa na yupo hot na haoneshi kuzeeka Kama ha ji won ni ngumu kumpata.Fursa ya kumuoa mwanamke aliyenizidi umri upo kwa Ha ji won pekee si tofauti na hapo kwa upande wangu.upo tayari kulea bibi kikongwe baada ya miaka 20 kupita?
mimi sipo tayari kulea wala kulelewa na kijana
Acha uongo mzee baba unataka kuniambia una miaka 64?kuanzia leo unipe heshima ya baba wa JF, nimekuzidi miaka 40 muhuni wewe
Acha uongo mzee baba unataka kuniambia una miaka 64?kuanzia leo unipe heshima ya baba wa JF, nimekuzidi miaka 40 muhuni wewe
Ok.kama ni kweli unatakiwa umshukuru Mungu sana maana kwenye generation hii ni ngumu Sana atakufika miaka 40.sasa wewe ndiye mzazi wangu?
halafu si umesema umri ni nambari tu zinazoongeza stress kwenye maisha yetu
Du hatari hiyo hiv korea drama unadownload kwenye website ipi?Love with flaws sijui ndo maendeleo huko korea ushoga umewekwa wazi wazi na kuonekana ni jambo la kawaida aiseee
Zile websites ulizonitajia nimeshindwa kudownload please nitajie yenye uwakika wakuweza kudownload kirahisi.maendeleo hayana chama... hii ajenda ya same sex relationship wakorea wanaileta mdogo mdogo bila ya raia wao kushituka...
huenda wameamua kuzidi kuitangaza sanaa yao nchi za magharibi kwa kutumia udhaifu huo.
ngoja tuone huko mbeleni itakuwaje..
designated survivor
tale of nokdu
love with flows
graceful family
naendelea kutunza kumbukumbu
maendeleo hayana chama... hii ajenda ya same sex relationship wakorea wanaileta mdogo mdogo bila ya raia wao kushituka (sheria imezuia mahusiano hayo kwa sasa)...
huenda wameamua kuzidi kuitangaza sanaa yao nchi za magharibi kwa kutumia udhaifu huo.
ngoja tuone huko mbeleni itakuwaje..
designated survivor
tale of nokdu
love with flows
graceful family
naendelea kutunza kumbukumbu
Du hatari hiyo hiv korea drama unadownload kwenye website ipi?