Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aende play store aandike downloader achague mbili atakazoona nzuri azitumie kuvutia movie ila kissiassian siku hizi inazingua ukiingia na down loader yoyote lazima iconfirm kila muda(step) inakutaka usubiri
Naona siku hizi Numbisa umekuwa mpole na mstaharabu hivyo ndo unavyotakiwa big up kwa Hilo 👏👏👏 ila mwenzetu Daemusin sijui siku hizi jini mtakafujo amefanya collabo na Khadija koppa kwenye kichwa Chake ndo maana amekuwa mtu wa Shari na mipasho tujaribu kumuombea inawezekana akarudi kwenye hali yake kawaida.
 
Hahahahaha aiseee mbona daemusin yupo hivyo siku zote sema alikua hajakuzoea tu na maswali yako. Kwa hizo website alizokupa nenda play store tafuta NOVA video downloader. Hii inavuta episode hadi tano kwa wakati mmoja ila ukiingia tu ina tangazo inabidi urudi upya kisha ingia tena kissiassian au popote utavuta vizuri tu
Naona siku hizi Numbisa umekuwa mpole na mstaharabu hivyo ndo unavyotakiwa big up kwa Hilo 👏👏👏 ila mwenzetu Daemusin sijui siku hizi jini mtakafujo amefanya collabo na Khadija koppa kwenye kichwa Chake ndo maana amekuwa mtu wa Shari na mipasho tujaribu kumuombea inawezekana akarudi kwenye hali yake kawaida.
 
lakini hapo juu umeniponda......
unataka msaada gani mwengine?

au nikuletee habari za ha ji won, nimesikia amechumbiwa na mwanaume kutoka Tanzania...
Kama ningepewa fursa ya kuchagua kumuoa mwanamke yoyote sitaangaika kwenda Brazil Wala USA Bali nitaenda kwa mwanadada mrembo aliyepitiliza ninae mkubali kuliko celebrity yoyote duniani mwenye sura ya upole, mnyenyekevu kwa namna nilivyomfuatilia,mwenye tabasamu la kutoa stress, sauti yake unaweza kuiombea mkopo benki ukapewa bila tatizo bila hata kuwepo riba, macho yake akikutazama unaweza ukahisi upo mbinguni kumbe upo duniani, mtoto ana miguu soft utazani anaiweka kwenye eisii muda wote si mwingine Bali ni mwanadada Ha ji won ninayemzungumzia kutoka South Korea.
 
werevu hawajishughulishi na harakati za kisiasa hatimaye wajinga wamebeba nafasi kwa niaba yao

mwerevu anapokataa fursa ya kuwapigania wananchi wake huwa hana utofauti wowote na mpumbavu.

shikamoo mpumbavu mtarajiwa
wanasemaje huko pyongyang?
hivi corona virus wameshafika huko?
kwetu seoul wameshafika
2020ElectionTwendeNaDaemusin
Hahahah, Kuwafanya watu kuwa na furaha, ni mapambano tosha. Wadhani watu wanahitaji nini zaidi kama si matumaini ambayo huleta amani na Furaha?, Je! Mabomba ya kutoa Maziwa na maji Nchi nzima ndio vitatupa amani ya moyo?😂 je! ni utajiri wa Fedha na madini?😁😁😁 Maisha ya kinafiki miye siyawezi, Eti "nitawajengea Nyumba kila mmoja wenu na Mashamba yenu yatamwagiliwa kwa Helicopter", " Je?! Mtanipa", "Ndiyo tutakupa"😁😁.
Nasema hivi sitokunywa maji mpaka nihisi kiu.

Corona Virus haijaripotiwa kwetu sababu tuliblock siku iliporipotiwa mlipuka wa Virusi hivyo. Huko kwenu ni wadhaifu sana.😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hizi sifa zote zake?
Kama ningepewa fursa ya kuchagua kumuoa mwanamke yoyote sitaangaika kwenda Brazil Wala USA Bali nitaenda kwa mwanadada mrembo aliyepitiliza ninae mkubali kuliko celebrity yoyote duniani mwenye sura ya upole, mnyenyekevu kwa namna nilivyomfuatilia,mwenye tabasamu la kutoa stress, sauti yake unaweza kuiombea mkopo benki ukapewa bila tatizo bila hata kuwepo riba, macho yake akikutazama unaweza ukahisi upo mbinguni kumbe upo duniani, mtoto ana miguu soft utazani anaiweka kwenye eisii muda wote si mwingine Bali ni mwanadada Ha ji won ninayemzungumzia kutoka South Korea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! nilifikiri utamchagua hawara wa boss kubwa mwenye mafanikio nchini Tanzania....
tanasha sembe (dona) the platinamuz
brother hujisikii aibu kumweka kwenye fikra zako mwanamke mwenye miaka 41 ya kuzaliwa.....
kumbuka umri wako wewe ni nusu ya umri wa mupenzi mtarajiwa from gwanghanum street.
kwa mujibu wa simulizi kutoka kwa Numbisa inasemekana umezaliwa mwaka 2000.

kwa taarifa yako raisi wa ufaransa anachepuka /atachepuka na vibinti vidogo.
endelea kupenda vizee ili uwe na fikra za kizee

celine dion = love doesn't ask why
Kwanza kabisa nikusahihishe hapo kwenye umri me nimezaliwa mwaka 1996 na sio mwaka 2000 na katika mapenzi hayana mambo ya umri ni suala tu la kupendana na kuheshimiana alafu Hawa ambao umri umeenda hawana mambo mengi Kama rika la kina Numbisa.Ukimuangalia Ha ji won ni Kama binti wa miaka 25 pata picha halisi binti wa hiyo miaka akifika umri wa Ha ji won atakuaje? Na muda unavyozidi kwenda Ha ji won anazidi tu kun'gaa wakati Kuna wengine wanazidi kuzeeka Kama dada yetu hapa bongo Wema sepetu.
 
upo tayari kulea bibi kikongwe baada ya miaka 20 kupita?

mimi sipo tayari kulea wala kulelewa na kijana
Kwa hapa bongo mwanamke ambaye ana umri mkubwa na yupo hot na haoneshi kuzeeka Kama ha ji won ni ngumu kumpata.Fursa ya kumuoa mwanamke aliyenizidi umri upo kwa Ha ji won pekee si tofauti na hapo kwa upande wangu.
 
maendeleo hayana chama... hii ajenda ya same sex relationship wakorea wanaileta mdogo mdogo bila ya raia wao kushituka...
huenda wameamua kuzidi kuitangaza sanaa yao nchi za magharibi kwa kutumia udhaifu huo.
ngoja tuone huko mbeleni itakuwaje..
designated survivor
tale of nokdu
love with flows
graceful family

naendelea kutunza kumbukumbu​
Zile websites ulizonitajia nimeshindwa kudownload please nitajie yenye uwakika wakuweza kudownload kirahisi.
 
Hatari tupu,pia naona jamaa aliyeigiza weita bar ya mashoga kajiua mwaka jana dec. Wapo faster kujikatisha uhai hawa wakorea
maendeleo hayana chama... hii ajenda ya same sex relationship wakorea wanaileta mdogo mdogo bila ya raia wao kushituka (sheria imezuia mahusiano hayo kwa sasa)...

Back
Top Bottom