Nyinyi wote hamjuagi kuona drama Kali ofcourse Vagabond ni moja ya drama Kali ili sipingi hata me mwenyewe nimeikubali lakini unapofananisha na drama Kama Innocent defendent na Empress ki ni kuwakosea heshima waandaji wa hizi drama cos wametumia akili kubwa na ubunifu mkubwa na mtu yoyote amespecialized na mambo ya movie or series atakubaliana na me akiziona hizo drama.Ukisifia hii unatajiwa hebu itafute empress Ki ukisema kile ni empress ki. Nasubiria aje atakavyolalamika sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi wote hamjuagi kuona drama Kali ofcourse Vagabond ni moja ya drama Kali ili sipingi hata me mwenyewe nimeikubali lakini unapofananisha na drama Kama Innocent defendent na Empress ki ni kuwakosea heshima waandaji wa hizi drama cos wametumia akili kubwa na ubunifu mkubwa na mtu yoyote amespecialized na mambo ya movie or series atakubaliana na me akiziona hizo drama.
Parasite siwezi kuijudge cos sijaiona na nitakuwa muongo kwa kuijudge kwakuisifia au kuiponda na me sibabaiki na drama kusifiwa mfano mzuri watu waliisifia Sana Money heist na kuifananisha kwa ubora na Prison break ila nilivyokuja kuangalia hiyo money heist nikajiuliza hao walioifananisha na Prison break walikuwa walevi wa konyagi Nini? Kilichonishangaza zaidi imepata rate kubwa kuliko Prison break.Hapa ndo nikapata jibu kwanini jumlisha na msalaba Ina alama yenye kufanana lakini Ina majina tofauti na matumizi tofauti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee na wa jumong watasemaje bado wa parasite kila kona wanapata sifa zao
Na Ndomna Kila Mtu akapewa Macho Yake, Unachoangalia Wewe na Kukitafsir Si Lazima Kifanane Na Tafsir Ya Mwengine.Parasite siwezi kuijudge cos sijaiona na nitakuwa muongo kwa kuijudge kwakuisifia au kuiponda na me sibabaiki na drama kusifiwa mfano mzuri watu waliisifia Sana Money heist na kuifananisha kwa ubora na Prison break ila nilivyokuja kuangalia hiyo money heist nikajiuliza hao walioifananisha na Prison break walikuwa walevi wa konyagi Nini? Kilichonishangaza zaidi imepata rate kubwa kuliko Prison break.Hapa ndo nikapata jibu kwanini jumlisha na msalaba Ina alama yenye kufanana lakini Ina majina tofauti na matumizi tofauti.
Mzee wa drama za kupaa ujamboView attachment 1383172
Hii Drama( Emperor wang gun) mpaka kuna wahusika nishawasahau. sijaimaliza lakini natamani niirudie, ndio kwanza niko Episode ya 170.
Daemusin msikie huyu kijana anavyomkosea Heshima Wang Gun.Mzee wa drama za kupaa ujambo
Sema unaangalia za kiboya ndomaana nenda kacheki hizi nitakazokutajia drama za Korea Vagabond, Innocent defendent, The Last, The empress ki alafu ulete mrejesho.Sijawai amin movies or series outside holywood, or wateva,
Kila nikiangAlia sjui china, korea india, naona kasoro tuu
post: 34620231 said:Sema unaangalia za kiboya ndomaana nenda kacheki hizi nitakazokutajia drama za Korea Vagabond, Innocent defendent, The Last, The empress ki alafu ulete mrejesho.
Sijawai amin movies or series outside holywood, or wateva,
Kila nikiangAlia sjui china, korea india, naona kasoro tuu
Hizi ulizotajiwa usiangalie mkuu utachukia vikorea endelea tu na movies zako
[/QUOTE
ππππππππππππ
We jamaa bwana kwahiyo nimegeuka kuwa mjukuuππππππππnimefurahishwa sana na msimamo ulionyeshwa na mjukuu wangu (innocent dependent) kwenye huo mjadala wenu........
hongera sana mjukuu.
umeshakuwa kijana mwenye nguvu.
kuanzia leo assignment zote utazifanya mwenyeo.
Hiyo inahusu Nini?Week ndani ya;-
King of shopping Louis
Weightlifting fairy kim bok joo
Hiyo inahusu Nini?
Bando langu natumia kwa burget so ni vizuri akaniambia kwa kifupi hiyo drama Ina uhusiana na Nini ili nikivutiwa niende kuangalia nifanyie Kama ulivyonifanyia Kama ile"VIP" ulini hadithia kidogo nikapenda na kweli drama ilikuwa nzuri na nikaimaliza.Vuta uangalie,hutaki google uone
Tusije anza mjadala wa defendant na empress k
Sitaki kabisa wewe niite tu Innocent inatoshakama hiyo heshima niliokupa haikuvutii basi nitakubadilishia....
waonaje ukawa kitukuu?
Bando langu natumia kwa burget so ni vizuri akaniambia kwa kifupi hiyo drama Ina uhusiana na Nini ili nikivutiwa niende kuangalia nifanyie Kama ulivyonifanyia Kama ile"VIP" ulini hadithia kidogo nikapenda na kweli drama ilikuwa nzuri na nikaimaliza.
wachezea moto, ukija kuwaka mzimaji nani?
gari lipo gerejiHahahaha mzimaji wewe