hivo uki rename kwenye uc browser zinakuwa hazionekani kwenye gallery? maana nilipo rename kuja ku play naambiwa file not found, ila uc browser zipo. haha
Kwenye gallery mara nyingi zinagoma,zifate file manager kisha internal storage halafu uc browser(video). Utazikuta hapo na zitaplay vizuri tu
Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.Sema unaangalia za kiboya ndomaana nenda kacheki hizi nitakazokutajia drama za Korea Vagabond, Innocent defendent, The Last, The empress ki alafu ulete mrejesho.
Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.
Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.Sasa huu uzi wetu kimekuleta nini mkuu?? Au ndio thinking out loud ??!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani shida inaanza pale tunapovuka mipaka. tujifunze uwastani.Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.
Mi kabla ya kuangalia movie or series naangalia kwanza the company that distributed the movie or produced. Kama sio holywood kampun kubwa siangalii.. Yaan naona itanipotezea muda tuu.
Its like brands, kuna mwingne hawez kua na sim aina flan, or kuna mwingne hawez kabisa angalia TBC, or mwingne wasaf, things like that yan.

Natumia simuHuwa unaingia kwa kutumia pc au simu?
NB sehemu moja ikikuzingua jaribu pengine kama dramanice au dramacool
Huku umefata nn sasaKiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.
Mi kabla ya kuangalia movie or series naangalia kwanza the company that distributed the movie or produced. Kama sio holywood kampun kubwa siangalii.. Yaan naona itanipotezea muda tuu.
Its like brands, kuna mwingne hawez kua na sim aina flan, or kuna mwingne hawez kabisa angalia TBC, or mwingne wasaf, things like that yan.
Naheshimu mtazamo wako mfano me siangaliagi clouds media na star tv Kama vile ambayo siangaliagi movie za kihindi na tamthiliya za kifilipino ila unachokosea kwanini uje huku ukiwa upendi Korean drama?Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.
Mi kabla ya kuangalia movie or series naangalia kwanza the company that distributed the movie or produced. Kama sio holywood kampun kubwa siangalii.. Yaan naona itanipotezea muda tuu.
Its like brands, kuna mwingne hawez kua na sim aina flan, or kuna mwingne hawez kabisa angalia TBC, or mwingne wasaf, things like that yan.
Mrejesho muhimu. Pia njia hio episode ikidownload haleti namba ep 1 bali jina linakua na namba nyingi. Kurahisisha zoezi kaa na kalamu ikivuta episode moje unaiandika(fanya hivyo mpaka episode zote). Ukimaliza kuvuta zote unazipanga sawa(rename)ili kuangalia vizuri