Kuna hiyo inaitwa Six flyin' dragon.. Nani kapita nayo hii series..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mdownload kupitia dramanice
Unapata shida gani upewe website nyingine...huyo mkuu huko unamsaidia pesa ya bundle?Ingekua hatupati shida na hiyo dramanice tusingehangaika kuomba turushiwe! na mkuu anayeturushia huko telegram angekua na majibu km haya basi asingepata shida kuanzisha lili group la telegram!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wote wanaopata shida kudownload korean drama ingieni telegram kuna group linaitwa Dramaost hilo utapata series zoooote unazozitaka na usizozitaka piaIngekua hatupati shida na hiyo dramanice tusingehangaika kuomba turushiwe! na mkuu anayeturushia huko telegram angekua na majibu km haya basi asingepata shida kuanzisha lili group la telegram!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni ipi mkuu...Good Casting, nimeipenda kwa kweli. View attachment 1449964
Mkuu samahani kama reply yangu umeipokea kitofauti, sishangai maana kila mmoja ana mapokeo yake. Mkuu unapata shida sehemu ipi huko dramanice ? Eleza uelekezwe.
Kwa wale wote wanaopata shida kudownload korean drama ingieni telegram kuna group linaitwa Dramaost hilo utapata series zoooote unazozitaka na usizozitaka pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa nikibonyeza server ambayo ni MP4 na kunidirect kudownload, nikibonyeza download unakuta inapotea kabisa! Inanirudisha kwenye google, ndo maana nikaomba msaada! But usijali mkuu tupo pamoja na sijapokea majibu yako ya awali kwa mtazamo hasi!
Tumia hiyo inaanzia na X alafu itakuletea page nyingine inakuwa na namba hiyo hiyo ndo utadownload kwa vile vitufe vya pembeni ikianza ku play...dramaniceMkuu huwa nikibonyeza server ambayo ni MP4 na kunidirect kudownload, nikibonyeza download unakuta inapotea kabisa! Inanirudisha kwenye google, ndo maana nikaomba msaada! But usijali mkuu tupo pamoja na sijapokea majibu yako ya awali kwa mtazamo hasi!
Choi Ji Woo amepata mtoto wa kike akiwa na umri wa miaka 45 alfajiri ya leo kwa saa za korea........ndiye mtoto wake wa kwanza.
umri huo upande wa pili mzazi wangu wa kike ana wajukuu wawili........
View attachment 1451767
Goodbye tummy. Hello Mommy!
ndani ya korea inafanya vibaya,nje ya korea inafanya vizuri.
chaguo ni lako
Haifanyi vibaya ila watu wengi ndani ya Korea wanaiangalia nao kupitia Netflix ndio maana ratings zake ni ndogondani ya korea inafanya vibaya,nje ya korea inafanya vizuri.
chaguo ni lako
Naomba series ya Money HeistCheck me telegram kwa babi057
Babi and ask any series or movie i will send u for freeView attachment 1452251
Sent using Jamii Forums mobile app