Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mwaka huu wakorea wameniweza kweli asilimia kubwa ya drama zipo slow. Ooh my baby episode ya 2 ikanishinda,dinner mate nikakurupuka nimeivuta yote basi ipo ndivyo sivyo kwa siku naiangalia robo episode.
 
Mwaka huu wakorea wameniweza kweli asilimia kubwa ya drama zipo slow. Ooh my baby episode ya 2 ikanishinda,dinner mate nikakurupuka nimeivuta yote basi ipo ndivyo sivyo kwa siku naiangalia robo episode.
zote sijaziangalia, kiupande wangu nahisi wakorea mwaka huu wamechoka ndio maana dozi imepungua 😛😛
 
Haaaah Asante kwa kunitoa tongotongo,nilijua hapendi kumshare kaka yake na mtu mwingine.ananikera sasa🤦
Hapo pa picha nilikua nimetoka kapa.
 

Basi mi nilivyo tafsiri si tofauti sana
Naona kama Sang tae anachukia mtu mwingine kuingilia bond yao na gang tae kwa sababu for the longest walikua ni wenyewe wawili so ana depend sana kwa mdogo wake anaona akija mtu mwingine atauchukua upendo na care ya gang tae
 
Jinsi mlivyoisimulia hata sijihangaishi kuivuta imeisha utamu utadhan nimeshaiona kama world of married story nzima ipo humu. Bora mmenishtua mapema.
 
============================
copy and translate
kuna theory tofauti nimezisoma kwenye forum fulani kuhusiana na hii drama kwa kuanzia na tukio la mauaji la mama yao sang tae na gang tae.
mchangiaji mmoja anasema hivi:
huenda Park Ok-Ran na mama yake koo moon young ni ndugu na aliyefanya tukio la mauaji ni park ok ran na si mama yake koo moon young (writer Do Hee Jae ) kama tunavyoaminishwa kwa asilimia 50(hatukuonyeshwa vizuri sura ya muuaji)

Tale of Two Sisters imeandika hivi:
Janghwa na Hongryeon ni mapacha, janghwa maana yake ni rose na hongryeon maana yake ni red lotus na ukiliangalia vizuri lile vazi analopenda kulivaa Hongryeon utagundua lina mchoro wa maua mawili yaliokulia kwenye tawi moja.


  1. kile kibanio chenye nembo ya kipepeo huenda ndugu wote wawili wanacho, utofauti ni kwamba mmoja hukiweka upande wa kulia( Doo Hee Jae ) na mwengine hukiweka upande wa kushoto (huenda ni park ok ran) na kwenye tukio la mauaji aliyefanya tukio lile kibanio cha kipepeo alikivaa upande wa kushoto.


mama yake koo moon young alipendelea zaidi kucha zake kuzipaka rangi na pia alipendelea zaidi kuvaa pete lakini aliyefanya mauaji hakupaka rangi kucha zake za mikono na hakuvaa pete
kwa sababu ya hilo tukio la mauaji ndio maana park ok ran kwa nyakati tofauti amekuwa akibadilisha muonekano wake kwa kufanya plastic surgery.


hivyo basi mama yake koo moon young hana makosa
-----------------------------------------
theory nyengine ni hii: sijaiangalia mpaka mwisho hii video
anasema yule mkuu wa nurse na mama yake koo moon young ni ndugu
ep 13: the father of a tale of two siters itatupa jawabu
 
wow, huenda upo sahihi, he just really idolizes her kama muandishi wa comic books na si vyenginevyo.... His reaction pindi anapomtaja moon young kama ni rafiki yake kipenzi huenda anamaanisha ni kama vile mchezo wa kitoto pindi anapoletewa zawadi nzuri inayomjaza furaha nafsini.

lakini kuwa na Autism hakumzuii kupenda 😎😎😎

nimeikumbuka good doctor drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…