Sure itaewon ina inspire sana hata mm nafkiria kuanza biashara aseeNzuri mnooooo, ila umbea hata huku umo jamani nachekaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Itaewon mbona nzuri tu? Icheki inani inspire sana kupigania ndoto zako na kusimamia unachokiamini [emoji1430][emoji1430]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3]Sure itaewon ina inspire sana hata mm nafkiria kuanza biashara asee
Naheshimu ukisemacho, lakini Sidhani kama kuna mtu alikuuliza ndugu, na pia hii ni thread kwa Wapenzi wa Korean Drama. Nadhani kama hawakuvutii huna haja ya kuingia mahala ambapo huvutiwi napo. Mfano mie si mpenzi wa series au single za kimagharibi, bali navutiwa zaidi na Series na single toka Asia ya mbali, kwa kujua hilo wala sijawahi kwenda kuandika kwenye thread au kufungua thread yao sababu najua sipo interested na movie toka huko. Kwahiyo naheshimu mawazo na mapenzo yao. Anyway karibu kama utaanza kuvutiwa nao, nasi bila hiana tutakupa list.Series au movies za kikorea na mm ni kama paka na panya, sijawahi kuvutiwa nazo.
Vagabond haijaisha kaka, bado haijatoka season 2 yake.Jamani Hivi Vagabond ina muendelezo?? Imeisha vibaya Sana kwangu.....
Pamoja mkuuNaheshimu ukisemacho, lakini Sidhani kama kuna mtu alikuuliza ndugu, na pia hii ni thread kwa Wapenzi wa Korean Drama. Nadhani kama hawakuvutii huna haja ya kuingia mahala ambapo huvutiwi napo. Mfano mie si mpenzi wa series au single za kimagharibi, bali navutiwa zaidi na Series na single toka Asia ya mbali, kwa kujua hilo wala sijawahi kwenda kuandika kwenye thread au kufungua thread yao sababu najua sipo interested na movie toka huko. Kwahiyo naheshimu mawazo na mapenzo yao. Anyway karibu kama utaanza kuvutiwa nao, nasi bila hiana tutakupa list.
Aisee, Vagabond Ni nomaaaa! Haichoshi hata kidogo....Vagabond haijaisha kaka, bado haijatoka season 2 yake.
Lakini Hot sana Vagabond.
Hiyo mbona kama ilikuwa canceledHivi kingdom INA muendelezo au hakuna????¿?????????!???
umeicheki penhouse?Hiyo mbona kama ilikuwa canceled
Tayari nasubiri season 2 iishe nipakueumeicheki penhouse?
naskia ni motoooooooPENTHOUSE SEASON 2 IMETOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
NDO NAANZA HAPA EP 1naskia ni motooooooo
Hamieni china nimemaliza ancient detective sasa naingia handsome siblings
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Anza na Crash landing on youNataka kuangalia drama za kikorea za visa za kimapenzi zile nzuri kabisa naomba mnitajie
Sent from my itel S13 using JamiiForums mobile app