Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wale ambao mnatumia simu ama tablet kuangalia drama tembelea hii site


Quality nakushauri chukua 480p angalau inaonyesha vzuri hii ya 360p achana nayo


Au unaweza kuingia Toxicwap.com utaingia sehem imeandikwa K Drama utazikuta humo
Quality zao nazo nzuri kwa sisi tunao tumia tablet kutizamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…