Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yani naomba nisikutane nazo hichi ndo kilichopunguza mapenzi na drama za wazungu

Kuna moja nilichek kwenye ongoing "nobleman ...wedding" kuchungulia comment ndo kujua wanaitwaga BL sijui, sijataka kujikera.
Tena Kwa Sasa Na Hili Soko Na Netflix Izi Drama Tuzitarajie tu.

Uzuri Na Nachowapendea Wakorea Ni Maadili Ile Nchi Inajitahid Sana Kulinda Na Kuenzi Utamaduni Wao la Sivyo Ingekua Kama Hollywood.
 
Jaman Mouse inanitesa Ila nimo, nimetizama episode Ya 15 usiku Sasa kulala namuwaza bareum anakuja kuniua.


That level of psychopath sijawah ona in drama level uwii.

Nitaimaliza Ila itanipa enough trauma lol
 
Daah yani ijumaa mpaka ijumaa hakika tutapata arosto ya kiwango cha juu Sana!

Ila ngoja tuisubiri
Penthouse [emoji119][emoji119]
 
Hawa jamani kwanini wanapenda kuishi kivyao vyao mpaka wanakutwa wamekufa bora wangeweza kuishi na familia mmoja hata wawili ikitokea tatizo la afya inawezekana kupata msaada wa haraka. Rest In Peace actress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…