Wadau naomba mnipe site ninayoweza ku download ancient Korean Dramas (zile kama Jumong n.k) for free.
Atakae niwezesha kupata pa kudownload nitamtupia voucher.
Hivi hizo episode mnazivuta moja kea moja kwenye simu, au mnatumia PC?Chicago ni majanga mengine nami nilikua naiangalia hivyo hivyo haina amsha amsha story imepoa mno bahati mbaya nilikua nimeivuta yote na kuifuta bila kuiangalia hasara kubwa
Asante mkuu. Ngoja nijaribu hapa kisha nitakupa mrejesho.Vocha tunazipenda ila sasa akina anonymous milele tunasema asante zitumie tu kuongezea bando
ingia hapa
kisha utatype drama unayoitafuta. mfano nimeitumia jumong. ikija utaclick episode ya kwanza. kisha hakikisha yale maandishi ya juu unjano upo kwenye FE kama hapo pichan ikikaa hivyo click hapo kati itaanza kuplay na kukuletea kamshale ka kudownload click hapo utakua umeanza safari ya kudownloadView attachment 1836081
Jumong (2006) at Dramanice
Jumong was the founder of Goguryeo in 37 BC. He was the son of General Hae Mo Su and Lady Yoo Hwa, and was raised by King Geum Wa who took him and his mother in when Hae Mo Su was believed to have been killed in an ambush by the Han Dynasty. So Seo N ... at Dramanicedramanice.sh
huko pengine itabidi ujiongeze tu ila pote ni rahisi kudownload for free na drama zoote zipo cha msingi ufahamu jina la drama husika
Mie natumia simu, ndo nahamishia Kwa PC. Kushusha Kwa PC saa sita za usiku ni struggleHivi hizo episode mnazivuta moja kea moja kwenye simu, au mnatumia PC?
Vocha tunazipenda ila sasa akina anonymous milele tunasema asante zitumie tu kuongezea bando
ingia hapa
kisha utatype drama unayoitafuta. mfano nimeitumia jumong. ikija utaclick episode ya kwanza. kisha hakikisha yale maandishi ya juu unjano upo kwenye FE kama hapo pichan ikikaa hivyo click hapo kati itaanza kuplay na kukuletea kamshale ka kudownload click hapo utakua umeanza safari ya kudownloadView attachment 1836081
Jumong (2006) at Dramanice
Jumong was the founder of Goguryeo in 37 BC. He was the son of General Hae Mo Su and Lady Yoo Hwa, and was raised by King Geum Wa who took him and his mother in when Hae Mo Su was believed to have been killed in an ambush by the Han Dynasty. So Seo N ... at Dramanicedramanice.sh
huko pengine itabidi ujiongeze tu ila pote ni rahisi kudownload for free na drama zoote zipo cha msingi ufahamu jina la drama husika
Hivi hizo episode mnazivuta moja kea moja kwenye simu, au mnatumia PC?
Mie natumia simu, ndo nahamishia Kwa PC. Kushusha Kwa PC saa sita za usiku ni struggle
Oya K2 nani kaiona
Hii drama mimi sijaiona. Umeangalia My golden life?oyeee tayari tushaiona ya zamani hio mkuu
Hii drama mimi sijaiona. Umeangalia My golden life?
Muda sana..Oya K2 nani kaiona
Aah wapi mimi drama nyingi maarufu sijaangalia. Na huwa sifuatilii ongoing...drama pekee niliyoangalia ongoing ni vincenzo tu nayo kwa kuwa ilikuwa na kelele sana na nimeanza kuangalia wakati imeshafika episode kumi na kitu huko na While you were sleeping nilimuiga @Daemusin.Nilivyokua mgeni humu nilikua nawaonea wivu kuwa mshaangalia kila aina za korean drama ndo maana mnaenda sambamba na ongoing.
Nilishaiangalia nzuri hio family drama
sitajaribu kukutesa tena, nitakuwa msikivu kwako, nitaosha mpaka CD zako za kuangalia chakorii@Daemusin.
Unaangaliaje drama tatu kwa mpigo? Mimi sasa hivi nipo na undercover. ..kwenye hiyo list yako nimeona Good Doctor tu.korean dramas first half (January to June)1. My sassy girl
2. Temptation
3. Second to last love
4. Good doctor
5. I have a lover
6. One warm word
7. Jewel in the palace
8. Undercover
9. Taxi driver
10. 3 days
11. Mine
12. Rain or shine
13. The great seer
14. Master’s sun
15. Jealousy incarnate
16. Move to heaven
17. memory
18. the lady of dignity/ woman of dignity
wino mwekundu: project za mwaka 2021
wino kijani: project ninazoziangalia kwa sasa
nilifikiri nimepunguza dozi ya kuangalia wakorea, kumbe nimepunguza dozi ya kufuatilia project za mwaka husika.
gwenchanah gwenchanah
kwenye list yako nimeangalia project 11.Unaangaliaje drama tatu kwa mpigo? Mimi sasa hivi nipo na undercover. ..kwenye hiyo list yako nimeona Good Doctor tu.
Mimi watchlist yangu hii..
Hiyo mine nahisi nzuri nitaiongezea
View attachment 1836524
Aah wapi mimi drama nyingi maarufu sijaangalia. Na huwa sifuatilii ongoing...drama pekee niliyoangalia ongoing ni vincenzo tu nayo kwa kuwa ilikuwa na kelele sana na nimeanza kuangalia wakati imeshafika episode kumi na kitu huko na While you were sleeping nilimuiga @Daemusin.
My golden life nimeiangalia kati ya mwaka huu mwanzonI au mwaka jana mwishoni.... mpaka leo sijapata tena drama iliyonitoa machozi kama ile