onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Asante[emoji120]Lobbyist English Sub | KissAsian
Watch and download Lobbyist with English sub in high quality. Various formats from 240p to 720p HD (or even 1080p). HTML5 available for mobile deviceskissasian.li
Hahaha hivi una namba yake yuleameishia darasa la 7, labda awe na tabia za yule jamaa wa tamthilia inayoitwa SUITS
Kifurushi ni Bomba au family?Kitu nilikua cjui ni kua TVN wana chennel Africa.Asante sana DSTV kwa kuniletea TVN Africa channel number 134.Kwa wale mnautimia ving'amuzi vya DST mnaweza kua mnaona drama za TVN kweny TV tu.Haina haja ya kutumia mi bundle ya data,zmetafsiriwa kwa kingereza chepesi mno.
mimi nadhani alimpenda zaidi Taek kuliko Jung-Hwan na upendo dhidi ya taek ulianza tokea siku ya kwanza walipokutana (udogoni kwao), si hivyo tu hata ukiangalia mwenendo wa matendo yake dhidi ya Taek yalionyesha heshima, utulivu pindi anapozungumza naye na ule unyenyekevu wa kisichana wenye aibu ndani yake kuliko anapokuwa na Jung Hwan (iwe kimazungumzo, kimatembezi au kimahitaji)Ending yake jaman nlitaman awe na Yule mwingine Ila kama alivyosema mwenyewe timing tu
hapo kwenye urojo umenigusa ndipo, sema urojo wa forodhani kama huna buku 5 utaondoka na njaa inayochangiwa na upepo wa bahari.Leo mbabu wa kipemba, umeamua kususia kila kitu, ngoja nijidai nakupa ofa ya urojo hapa forodhani ili ukatae nipate kisingizio😒😒
hapana sikufikia hatua ya kukasirika.Baba Bora Hua Hakimbii Majukumu ata Kama Mtoto Akimtukana.., Usikasirike Baba Ahjussi
Link mnawekaje humu? Najaribu kukuwekea nafeliNahitaji msaada wa telegram channel zenye maudhui ya korean drama.
Nimegeuka jini, kazi yangu imekuwa ni kuagizwa vitu.
kama yupo anayezifahamu naomba aniwekee
===============
channel hii Korean Dramas Tz Fans isiwe miongoni mwao.
chimbuko la tatizo pia limesababishwa na hii channel
Huwa natolea kissiassian maana kule telegram sielewi mtiririko wake na sijawahi kuzisaka channel nyinginitakuwa nawe milele katika shida na raha.....
hivi hii nukuu huwa haiwahusu walio kwenye mahusiano ya kimapenzi, nikiwa na maana ya kwamba hii nukuu inawahusu wale wanaofunga ndoa tu.
utafanya nini kama utagundua mwenzawako ana tatizo kubwa la kiafya au kasoro usiyoitarajia,
utaendelea kuwa naye au utamtelekeza na kwenda kwa mwengine aliyejaaliwa afya njema kama faru khadija
kuwa mkweli siku utakapoamua kunijibu.
je kuna ubaya kwa A kuchukua uamuzi wa kumkimbia B bila ya kumwambia pindi atakapojigundua ana tatizo fulani
View attachment 1851557
Nahitaji msaada wa telegram channel zenye maudhui ya korean drama.
Nimegeuka jini, kazi yangu imekuwa ni kuagizwa vitu.
kama yupo anayezifahamu naomba aniwekee
===============
channel hii Korean Dramas Tz Fans isiwe miongoni mwao.
chimbuko la tatizo pia limesababishwa na hii channel
Umeelezea vyema nimekupatamimi nadhani alimpenda zaidi Taek kuliko Jung-Hwan na upendo dhidi ya taek ulianza tokea siku ya kwanza walipokutana (udogoni kwao), si hivyo tu hata ukiangalia mwenendo wa matendo yake dhidi ya Taek yalionyesha heshima, utulivu pindi anapozungumza naye na ule unyenyekevu wa kisichana wenye aibu ndani yake kuliko anapokuwa na Jung Hwan (iwe kimazungumzo, kimatembezi au kimahitaji)
kwa kuangalia mlolongo wa makuaji yao naweza kusema kwa ufupi
Duk-Sun alimchukulia jung hwan kama ni rafiki jirani wa kiume kwa maisha yake yote ya utoto na mwanzo wa puberty stage kuliko mwanaume.
msamiati wa timing utumike baada ya kubaleghe kwake na hapo pia deok sun bado aliendelea kumpendelea Taek kuliko jung hwan aliyekuwa na kila kitu (kazi ya uhakika, familia yenye kipato, elimu, muonekano).
mfano angalia zawadi ya gloves, ni nani kati ya hao wawili aliyempelekea gloves sahihi alizozipenda (nafikiri mmoja wao alichelewa lakini bado alimpelekea zawadi sahihi), cha ajabu ikaheshimiwa na kuthaminiwa ya bwana yule
- kama nitakuwa sahihi deok sun aliogopa hata kumwambia taek ambebe mgongoni kwa kukhofia kumuumiza (khofu juu ya kile ukipendacho kishije kuharibika) lakini kwa jung hwan ilikuwa ni tofauti
- hakupenda kumuona Taek akinywa vinywaji vikali mfano wa pombe lakini kwa jung hwan ilikuwa ni tofauti
Hii drama ni mateso Kua inatoka episode moja...ik-sun anachomfanyia Jun wan[emoji26]nitakuwa nawe milele katika shida na raha.....
hivi hii nukuu huwa haiwahusu walio kwenye mahusiano ya kimapenzi, nikiwa na maana ya kwamba hii nukuu inawahusu wale wanaofunga ndoa tu.
utafanya nini kama utagundua mwenzawako ana tatizo kubwa la kiafya au kasoro usiyoitarajia,
utaendelea kuwa naye au utamtelekeza na kwenda kwa mwengine aliyejaaliwa afya njema kama faru khadija
kuwa mkweli siku utakapoamua kunijibu.
je kuna ubaya kwa A kuchukua uamuzi wa kumkimbia B bila ya kumwambia pindi atakapojigundua ana tatizo fulani
View attachment 1851557
niandikie japo majina yakeLink mnawekaje humu? Najaribu kukuwekea nafeli
kwanini hii chicago imekushinda,Nime drop Chicago typewriter episode Ya 3 na penthouse3 episode Ya 3 Nitaendeleaga zikinikalia vizuri.
Acha tu. Nimepunguza kukesha usiku nikidownload, na pia inanipunguzia binge watching.Kitu nilikua cjui ni kua TVN wana chennel Africa.Asante sana DSTV kwa kuniletea TVN Africa channel number 134.Kwa wale mnautimia ving'amuzi vya DST mnaweza kua mnaona drama za TVN kweny TV tu.Haina haja ya kutumia mi bundle ya data,zmetafsiriwa kwa kingereza chepesi mno.
ni rafiki yangu wa karibu ndiye muhitaji wa hizi channel, nimeshamfahamisha sana jinsi ya kushusha drama kwa kutumia software ya IDM lakini ndio hivyo anajifanya kichwa ngumu.Huwa natolea kissiassian maana kule telegram sielewi mtiririko wake na sijawahi kuzisaka channel nyingi