Asante mamie kwa kunijuza hiyo taarifa nitaanza kujaribu hiyo websiteSafi. Mie nimejaribu kutumia mtandao wa nkiri.com kwa hisani ya Kheri007. Mtandao upo vizuri,episode zina mb 150 hadi 186. Nimevuta hospital playlist kwa mb hizo na kwa uchumi huu site ipo vizuri maana ina ongoing dramas pia
Nimebahatika kuicheki kiukweli ni mzuri haina longolongo kwenye kudownload na ina mb ndogo Sana ukidownload but ina shida moja wakati nimemaliza kudownload The veil nimeona subtitle haiyendi sambamba na anachongea actor or actress sasa sijajua ni kwenye drama zote ipo hiv au ni hii tu? Naomba unisaidie kwenye Hili NumbisaAsante mamie kwa kunijuza hiyo taarifa nitaanza kujaribu hiyo website
Asee nilidonwload drama moja hv nimeianglia episodes 2 sjaipenda nilitaka niifute ila baada ya kuona airtel wameondoa bando la night bora niimalizie tu nifidie Mb zangu [emoji849]Mmmh airtel wameondoa night bundle la gb 10 maskini sieeee
Asee nilidonwload drama moja hv nimeianglia episodes 2 sjaipenda nilitaka niifute ila baada ya kuona airtel wameondoa bando la night bora niimalizie tu nifidie Mb zangu [emoji849]
Nimebahatika kuicheki kiukweli ni mzuri haina longolongo kwenye kudownload na ina mb ndogo Sana ukidownload but ina shida moja wakati nimemaliza kudownload The veil nimeona subtitle haiyendi sambamba na anachongea actor or actress sasa sijajua ni kwenye drama zote ipo hiv au ni hii tu? Naomba unisaidie kwenye Hili Numbisa
Umepata mbadala?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole. Na hizi hasara tutakoma data ni shida
Umepata mbadala?
Na ttcl wameondoa, sijui itakuwaje jaman
Asante acha niitafute tu hii lainMbadala ni halotel tu gb 5 zao kwa 1500
huenda lilikuwa ni tatizo la wote bila ya kujali ni tovuti ipi ulioitumia kwa ajili kustreamika, subtitle ya episode 4 ilizidi kutokuwa synchronize (haikupangika kwa mujibu wa muda).The veil nimeona subtitle haiyendi sambamba na anachongea actor or actress sasa sijajua ni kwenye drama zote ipo hiv au ni hii tu? Naomba unisaidie kwenye Hili @Numbisa
naendelea kujifunza taaluma ya biashara kwa njia ya maigizo, kuna project inaitwa the great merchant kim man deok ndio naangalia kiuvivu (stori yake si nzuri sana).Dadeki hii series ya Sang do na Hur Jun zimefanya hadi nione Mr Sunshine ni series mbovu na sidhani kama nitaimalizia.
Baada ya kuona ipo hivyo kwenye nkiri.com nikaamua nicheki kisaasian nashukuru niliipata vizuri by way the veil wanatoa episodes siku ipi na ipi?huenda lilikuwa ni tatizo la wote bila ya kujali ni tovuti ipi ulioitumia kwa ajili kustreamika, subtitle ya episode 4 ilizidi kutokuwa synchronize (haikupangika kwa mujibu wa muda).
Nimepita tena kwenye website(kissasian) nimekuta tayari ipo vizuri, kama unaweza kuishusha tena na kuiangalia au kuachana nayo huo utabaki kuwa ni uamuzi wako.
View attachment 1955961
Ijumaa na jumamosiBaada ya kuona ipo hivyo kwenye nkiri.com nikaamua nicheki kisaasian nashukuru niliipata vizuri by way the veil wanatoa episodes siku ipi na ipi?
Asante mkuu.Vip hii drama unaiyonaje kama ukiambiwa uipe rate ya 1-10 utaipa ngapi?Ijumaa na jumamosi
nitaipa 8/10Asante mkuu.Vip hii drama unaiyonaje kama ukiambiwa uipe rate ya 1-10 utaipa ngapi?
Kwa upande wangu hii ndio drama yangu Bora kabisa ya mwaka Huu hadi sasa imenikosha ile mbaya hivi kuna drama zingine ipo kama hii unazojua ukiachana na Vagabondnitaipa 8/10
kwa sanaa ya korea zipo chache sana zenye maudhui mfano wa the veil, ninazozikumbuka kwa haraka niKwa upande wangu hii ndio drama yangu Bora kabisa ya mwaka Huu hadi sasa imenikosha ile mbaya hivi kuna drama zingine ipo kama hii unazojua ukiachana na Vagabond