Asante mamie kwa kunijuza hiyo taarifa nitaanza kujaribu hiyo websiteSafi. Mie nimejaribu kutumia mtandao wa nkiri.com kwa hisani ya Kheri007. Mtandao upo vizuri,episode zina mb 150 hadi 186. Nimevuta hospital playlist kwa mb hizo na kwa uchumi huu site ipo vizuri maana ina ongoing dramas pia