Asante mkuu je za romance zenye story nzuri?kwa sanaa ya korea zipo chache sana zenye maudhui mfano wa the veil, ninazozikumbuka kwa haraka ni
- iris 1
- iris 2
- athena goddess of war
Asante mkuu je za romance zenye story nzuri?
Nashukuru mzee baba kwa kuvumilia maswali yangu swali la mwisho Kati ya hizo zipi main characters ambao wapo serious maana binafsi sipendi niangalie drama yenye main characters ambao comedian au mwenye masiala napenda awe kama yule wa Veil na pia main actress awe serious
- because this is my first life
- Crash Landing On You
- you are my spring
- touch your heart
- her private life
- that winter the wind blows
- boyfriend (encounter)
- descendant of the sun
- while you were sleeping
- the beauty inside
- what's wrong with secretary kim
- ---------------------- n.k
Chae Soo Bin and Choi Min ho reportedly to lead Netflix new drama Fabulous depicts the work, passion, love and friendship of the four youth who threw their lives into the fashion field.
Chae works in a luxury fashion agency for 5 years, Choi is a freelance retoucher.
in 2022.
umeomba korean romance drama baadae hapo hapo unaweka kipengele cha kutaka waigizaji wakuu wawe seriously ndani yake, mimi sijawahi kuiona korean drama mfano wa hiyo (ukiondoa hizo nilizokutajia za IRIS, ATHENA na Vagabond uliokwisha iangalia)Nashukuru mzee baba kwa kuvumilia maswali yangu swali la mwisho Kati ya hizo zipi main characters ambao wapo serious maana binafsi sipendi niangalie drama yenye main characters ambao comedian au mwenye masiala napenda awe kama yule wa Veil na pia main actress awe serious
tvN drama <#Tale Of The NineTailed> reportedly to produce S2 & S3 with 10 episodes respectively, S2 set in Japanese colonial era and S3 in Joseon Dynasty.
All casts except #Jo Bo Ah are expected to join the drama, female lead will re-cast.
Air in 1st half 2022.
mbona umefurahishwa, ipo vizuri?Weuweeeeee
Kuna moja niliyowahi kuangalia inaitwa Fatal promise ina character aina hii na story nzuri ninajua kuwa main character wanapangwa na wanavishwa uhusika kutokana na script inavyosema lakini kwa upande wangu sipendi main characters wenye vituko lakini najua kuna watu wanawapenda.By the way Asante kamanda kwakunipa hiyo drama ingawa umeanza kwa kunipa lecture as if tupo chuoumeomba korean romance drama baadae hapo hapo unaweka kipengele cha kutaka waigizaji wakuu wawe seriously ndani yake, mimi sijawahi kuiona korean drama mfano wa hiyo (ukiondoa hizo nilizokutajia za IRIS, ATHENA na Vagabond uliokwisha iangalia)
script na director mkuu ndio humuongoza muigizaji na si muonekano wake, huyo namgoong min uliyeamua kumtolea mfano ukimuangalia kwenye chief kim drama hakuwa hivyo, humo ndani (the veil) umemuona hivyo kwa sababu ya hadithi ya drama husika ilivyo na amekwenda mbali zaidi mpaka kutengeneza mwili wake kwa kuongeza uzito wa kg 10+ ili aendane na uhusika wake (japokuwa script haikumuandaa awe hivyo alivyo kimwili). uhusika wake kwa kuwa yeye ni NIS field agent bila ya shaka alitakiwa awe seriously kwenye utekelezaji wa mission, hodari kwa mapigano, kibaya zaidi amepatwa na tatizo la kupoteza kumbu kumbu na ukiongezea tatizo la amnesia.
do you think atakuwa na muda wa kutabasamu ovyo kama mwanamue aliyeonyeshwa sinema za kamasutra?
Numbisa huyu mdogo wako ameanza kunichezea ndevu.
jaribu kuangalia crash landing on you drama.
mbona umefurahishwa, ipo vizuri?
ndio, sikuiangaliaMimi binafsi niliipenda kwani we hujaiangalia?
umeomba korean romance drama baadae hapo hapo unaweka kipengele cha kutaka waigizaji wakuu wawe seriously ndani yake, mimi sijawahi kuiona korean drama mfano wa hiyo (ukiondoa hizo nilizokutajia za IRIS, ATHENA na Vagabond uliokwisha iangalia)
script na director mkuu ndio humuongoza muigizaji na si muonekano wake, huyo namgoong min uliyeamua kumtolea mfano ukimuangalia kwenye chief kim drama hakuwa hivyo, humo ndani (the veil) umemuona hivyo kwa sababu ya hadithi ya drama husika ilivyo na amekwenda mbali zaidi mpaka kutengeneza mwili wake kwa kuongeza uzito wa kg 10+ ili aendane na uhusika wake (japokuwa script haikumuandaa awe hivyo alivyo kimwili). uhusika wake kwa kuwa yeye ni NIS field agent bila ya shaka alitakiwa awe seriously kwenye utekelezaji wa mission, hodari kwa mapigano, kibaya zaidi amepatwa na tatizo la kupoteza kumbu kumbu na ukiongezea tatizo la amnesia.
do you think atakuwa na muda wa kutabasamu ovyo kama mwanamue aliyeonyeshwa sinema za kamasutra?
Numbisa huyu mdogo wako ameanza kunichezea ndevu.
jaribu kuangalia crash landing on you drama.
ndio, sikuiangalia
wakorea unawapenda sana ila unawaogopa, kwa mwendo huu utapata tabu sana na pia utawapa watu tabu kwenye kukutafutia ladha uipendayo.Kuna moja niliyowahi kuangalia inaitwa Fatal promise ina character aina hii na story nzuri ninajua kuwa main character wanapangwa na wanavishwa uhusika kutokana na script inavyosema lakini kwa upande wangu sipendi main characters wenye vituko lakini najua kuna watu wanawapenda.By the way Asante kamanda kwakunipa hiyo drama ingawa umeanza kwa kunipa lecture as if tupo chuo
neeeeIangalie bwana iko poa