Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mnaotumia Ha tunnel plus hivi ukiweka file likaconnect ukadownload asubuhi na kesho yake unalidownload upya hilo file? Maana yangu hayakai,natumia Asubuhi vizuri ila jioni nashangaa silikuti
 
Server ni set nchi gani nikimbize vzuri
Mkuu server za wire tun haziko stable kabisa inaweza kukupa mb 10 halafu spidi inarudi 0kbs

So cha kufanya uwe na badili badili servers yaani unaweza chagua zile USA ukapiga piga ukaona zikoslow then unaenda uk au Germany au canada
 
Ikirudi 0kbps usibadili server wala kuikata wewe zima data fasta then washa hapohapo inaendelea kukimbiza tu
 
Ha tunnel kwangu bado haikubali kabisa

Mnatumia server za wapi USA au canada na zile ports mnatumia ili maana file nilipata huko telegram la mr ochu still kitu kinagoma
Yaani ile hugusi popote, kazi yako ni kuinsert file tu. Inagoma kuconnect au internet ipo slow?
 
Mkuu server za wire tun haziko stable kabisa inaweza kukupa mb 10 halafu spidi inarudi 0kbs

So cha kufanya uwe na badili badili servers yaani unaweza chagua zile USA ukapiga piga ukaona zikoslow then unaenda uk au Germany au canada
Hii vpn ya wire turn inakubali kwa Tigo mkuu ?.
 
Back
Top Bottom