talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Yule mkaa wa now we are breaking up na huyu wa forecasting love and weather ni wawili tofauti?
Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mkaa wa now we are breaking up na huyu wa forecasting love and weather ni wawili tofauti?
Mangakaumitha chonaah🗣️.........Ki Young ni handsome zaidi View attachment 2151560
Basi mi nimemwelewa huyu wa forecasting love and weatherNdio
Wazuri jamani hawa dohKi Young ni handsome zaidi View attachment 2151560
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu hii hapa ni Seoul ya TanzaniaYule mkaa wa now we are breaking up na huyu wa forecasting love and weather ni wawili tofauti?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hayo maandishi nimeyasikia loud and clearMangakaumitha chonaah[emoji2788].........
Nimeona avatar yako nikakumbuka namna ambavyo hao wazee wa baraza huwa wanam-adress mfalme akikasirika.
Nimejikuta najifunza maneno mengi sana ya kikorea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hayo maandishi nimeyasikia loud and clear
😁😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu hii hapa ni Seoul ya Tanzania
Aisee mpaka nimemaliza hilo neno ndo nimepata picha wanavyomuinamia mfalme na makofia yao yale,😂😂😂😂Mangakaumitha chonaah🗣️.........
Nimeona avatar yako nikakumbuka namna ambavyo hao wazee wa baraza huwa wanam-adress mfalme akikasirika.
Nenda kimoi tv, nkiri, netnaijaJaman nnaweza kutumia link gan for downloading series na movies
Jamani nani kaiona queen:love and war
Mana nimeanza episode ya kwanza tu ina mkwara mkali mfalme kapigwa risasi kafa alafu kafufuka,
Sasa nataka nijue huko mbele iko vizuri au ntapoteza bando langu tu
Bongo tungekuwa na hawa madereva wa kukodi kama Korea..ukinywa kidogo unawaita wanakuendesha ingekuwa vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23] Unaagiza kuku mzima unaletewa kuku mapaja hayalingani moja kubwa lingine dogoMie natamani tu delivery service hio system bomba sana,unaagiza msosi fasta ushakuja kamili. Na zile kuku daah sio huku unaagiza kuku mzima wanakuletea robo tatu au mpaka mpigishane kelele weee ndo unapata kuku kamili.
[emoji23][emoji23][emoji23] Unaagiza kuku mzima unaletewa kuku mapaja hayalingani moja kubwa lingine dogo
Korea swala la huduma wapo vizuri mno..ambulance ni dk 0 ipo mlangoni