Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Jamani nani kaiona queen:love and war
Mana nimeanza episode ya kwanza tu ina mkwara mkali mfalme kapigwa risasi kafa alafu kafufuka,
Sasa nataka nijue huko mbele iko vizuri au ntapoteza bando langu tu
 
Mie natamani tu delivery service hio system bomba sana,unaagiza msosi fasta ushakuja kamili. Na zile kuku daah sio huku unaagiza kuku mzima wanakuletea robo tatu au mpaka mpigishane kelele weee ndo unapata kuku kamili.
Bongo tungekuwa na hawa madereva wa kukodi kama Korea..ukinywa kidogo unawaita wanakuendesha ingekuwa vizuri
 
Mie natamani tu delivery service hio system bomba sana,unaagiza msosi fasta ushakuja kamili. Na zile kuku daah sio huku unaagiza kuku mzima wanakuletea robo tatu au mpaka mpigishane kelele weee ndo unapata kuku kamili.
[emoji23][emoji23][emoji23] Unaagiza kuku mzima unaletewa kuku mapaja hayalingani moja kubwa lingine dogo

Korea swala la huduma wapo vizuri mno..ambulance ni dk 0 ipo mlangoni
 
😂😂😂

Na huku bongo kungekua na mgahawa wa subway,hawa watu kila drama wamo nikiangalia biashara yao ni mikate na juisi tu ila wana mbwembwe kibao.

Back
Top Bottom