Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kwangu ipo ila mchezo wake ni kubadili files kila kukicha naenda saka jipya
Wapendwa mnaotumia Ha tunnel plus hali ikoje huko? Mimi nina siku mbili inanigomea sijui ni ttcl wamenikatia au shida nini