Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Persona ni uharibifu wa hela tu ndo madhara ya kulazimisha fani ya uigizaji wakati kipaji kipo kwenye uimbaji

Our beloved summer uharibifu mwingine wa hela. Hata haieleweki inahusu nini
 
Persona ni uharibifu wa hela tu ndo madhara ya kulazimisha fani ya uigizaji wakati kipaji kipo kwenye uimbaji

Our beloved summer uharibifu mwingine wa hela. Hata haieleweki inahusu nini
Si kama moja hiyo inaitwa Heard it Through Grapevine yaani ni mbaya
 
Kweli kabisa chaji ni tatizo. Na umeme ukikatika kidogo tu tanesco wanatukoma kwa kelele za lawama mitandaoni😂😂😂😂😂😂
Inamaliza chaji na concentration..ukikaa kidogo unachungulia[emoji1787][emoji1787]
Mimi chaji ndio changamoto yangu sasa hivi, bila hivyo aisee Mbona kdrama zingenikoma mwaka huu
 
Wakuu nacheki MY NAME apa
Any recommendation tafadhali za kiajent zitapendeza zaidi

Maendeleo kwa wote
 
Forecasting love and weather inatoka kila lini
Kumbe unaifatilia,yule mkaka lee siwon mzuri jamani,alafu wanapenda kumweka kwenye series anapendana na mdada mkubwa zaidi yake!
Itafute now we are breaking up, imeisha nayo last month,utaipenda yumo humo na yule actress ambae ndo analipwa zaidi korea huko
 
Ntaitafuta nayo..sasaivi nimetekwa na Young lady and gentleman

Hivi hii imeisha au bado?
 
Ki Young ni handsome zaidi
photogrid.collagemaker.photocollage.squarefit_2022315131325133.jpg
 
Back
Top Bottom