Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ila ni movies jamanj mkumbuke. Hakuna mtu anaweza ku potray nchi yake kama iko poor kwenye jambo lolote hasa nchi zilizoendelea.

In reality unaweza kukuta mambo hayapo hivyo japo kweli wametuzidi ila uzinguaji upo tofauti na mambo yanayoonyeshwa kwenye sinema.
Hata kwenye movie kuna uhalisia asilimia fulani ujue
 
Hebu taja majina yake hapa huenda nikapata ya kuruka nayo weekend hii, kwenye hizo covers nimejua tu EMPRESS KI.

•Jewel In The Palace/Dae Jang Geum(2003)-Lee Young Ae
•Saimdang:Memoirs Of Colour(2017)-Lee Young Ae
•Painter Of The Wind(2007)-Moon Geun Young
•Jung Yi:Goddess Of Fire(2013)-Moon Geun Young
•King's Daughter Soo Baek Hyang(2013)-Seo Hyun Jin
•Dong Yi(2010)-Han Hyo Joo
•Hwang Jin Yi(2006)-Ha Ji Won
•Empress Ki(2014)-Ha Ji Won
•Hwajung(2015)-Lee Yeon Hee
•Jang Ok Jung(2013)-Kim Tae Hee
•Flower In Prison(2016)-Jin Se Yeon
•Iron Empress(2008)-Chae Shi Ra
•Queen Seon Deok(2009)-Lee Yo Won
•Red Sky(2021)-Kim Yoo Jung
 
Hii list naichukua nini ni mpenzi wa historical drama sana sana sana
 
Ebwana eeh nna kitonga hapa hadi napagawa drama ya kupakua.

Kuna style flani kwenye romantic dramas characters kabla ya kuwa in love wanaanzaga na uhasama flani na misunderstandings za kutosha.

Aliyeangalia hizi ukiachana na Suspicious Partner na My Love From Another Star tiririka.
 
ROMANTIC DOCTOR, TEACHER KIM

ROMANTIC DOCTOR, TEACHER KIM 2

INTROVERTED BOSS

THE BRIDE OF HABAEK

THE HEIRS

LOVE IN THE MOONLIGHT

FIGHT FOR MY WAY

CRASH LANDING ON YOU

I’M NOT A ROBOT
Ebwana eeh nna kitonga hapa hadi napagawa drama ya kupakua.

Kuna style flani kwenye romantic dramas characters kabla ya kuwa in love wanaanzaga na uhasama flani na misunderstandings za kutosha.

Aliyeangalia hizi ukiachana na Suspicious Partner na My Love From Another Star tiririka.
 
Itakua au konyagi kabisa maana wakinywa soju wanakunja sura ila bia wala hawatikisiki kama kwenye soju

Mie zile tambi zao sijui ramiyeon,jajanjanjaaamieon😂😂😂😂,wanaweka hadi mayai ila sitamani ule mchanganyiko wa wali wanaochanganya vikorombwezo viiingi kwenye bakuli moja
Ukitaka kujaribu misosi yao kuna restraurant yao iko masaki kona ya kwenda ilipokua double tree hotel,panaitwa goong
Yan ukiagiza msosi kama wali na kitimoto ile wanachomaga juu ya meza unaletewa na side dishes za kutosha kama kwenye tamthilia zao vile😂😂😂!
 
Ukitaka kujaribu misosi yao kuna restraurant yao iko masaki kona ya kwenda ilipokua double tree hotel,panaitwa goong
Yan ukiagiza msosi kama wali na kitimoto ile wanachomaga juu ya meza unaletewa na side dishes za kutosha kama kwenye tamthilia zao vile[emoji23][emoji23][emoji23]!
Hizo ndio sehemu za kwenda sasa..
 
Ebwana eeh nna kitonga hapa hadi napagawa drama ya kupakua.

Kuna style flani kwenye romantic dramas characters kabla ya kuwa in love wanaanzaga na uhasama flani na misunderstandings za kutosha.

Aliyeangalia hizi ukiachana na Suspicious Partner na My Love From Another Star tiririka.
Asilimia kubwa ya romantic drama huanza hivi. Naona young lady na gentleman wake walipelekana hadi polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] though sijui kama watakuwa wapenzi maana ndio kwanza niko episode ya nane. Kwenye hiyo list ya Numbisa ongeza
It's okay not to be okay
Marriage, not dating
Emergency couple
Melting me softly
 
Halafu umenikumbusha weekend ndo hii nisubirie kudaka episode 49. gentleman ka sejong kapo vizuri
Asilimia kubwa ya romantic drama huanza hivi. Naona young lady na gentleman wake walipelekana hadi polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] though sijui kama watakuwa wapenzi maana ndio kwanza niko episode ya nane. Kwenye hiyo list ya Numbisa ongeza
It's okay not to be okay
Marriage, not dating
Emergency couple
Melting me softly
 
Ebwana eeh nna kitonga hapa hadi napagawa drama ya kupakua.

Kuna style flani kwenye romantic dramas characters kabla ya kuwa in love wanaanzaga na uhasama flani na misunderstandings za kutosha.

Aliyeangalia hizi ukiachana na Suspicious Partner na My Love From Another Star tiririka.
My Love from another star, ni bonge la romantic series. Natamani niwe sijawahi kuiona ili niianze upya.
 
Huu mwezi nimekuwa mzembe kutumia kitonga ipasavyo
Screenshot_20220320-083404.jpg
 
Back
Top Bottom