Wapendwa mnaotumia Ha tunnel plus hali ikoje huko? Mimi nina siku mbili inanigomea sijui ni ttcl wamenikatia au shida nini
Kwa hiyo kumbe ujanja upo kwenye file... Unatumia mtandao gani maana ttcl naona kama wamechoka kaziKwangu ipo ila mchezo wake ni kubadili files kila kukicha naenda saka jipya
Hawa SUBWAY ni hatari, kuna snacks zao niliziona kwenye MR BLACK😋😂😂😂
Na huku bongo kungekua na mgahawa wa subway,hawa watu kila drama wamo nikiangalia biashara yao ni mikate na juisi tu ila wana mbwembwe kibao.
Kwa hiyo kumbe ujanja upo kwenye file... Unatumia mtandao gani maana ttcl naona kama wamechoka kazi
Hawa SUBWAY ni hatari, kuna snacks zao niliziona kwenye MR BLACK😋
Inabidi nitafute mseleleko mwingine, network ya ttcl haifai sasa hiviNatumia ttcl. Naona ujanja ni file
Nadhan tatizo ni file sio net ya ttcl. Maana bila file ttcl wabovu sana tu ila kwa file unashangaa ilivyo na kasi. Nenda telegram search grup la ha tunnel plus tz utapata filesInabidi nitafute mseleleko mwingine, network ya ttcl haifai sasa hivi
Numbisa bwana😃, hayo mambo huku kwetu yatafika wakati ambao hatuwezi kuyafurahia tena (kama tutakuwepo).Wamenikomesha kwenye homemade love story (ep50) kila wakiongelea ofa za misosi wanaleteana hio mikate na juisi halafu kula yenyewe ya kuringa(kuleteana njaa tu😂😂😂)
Rokie cop ni kuku daah sahani linajaa na pombe glass kuubwaaa
Ngoja nijaribu huko telegramKweli nimeona kwenye uzi wa vifurushi jukwaa la technology jamaa anaeleza net ya bure kwa laini ya tigo ni kuperuzi tu,haidownload niliitumia ila kwangu haikua na kasi na masharti yake meeengi.
Nadhan tatizo ni file sio net ya ttcl. Maana bila file ttcl wabovu sana tu ila kwa file unashangaa ilivyo na kasi. Nenda telegram search grup la ha tunnel plus tz utapata files
Nna list ya vyakula vya Korea navitamani mno aisee..kimchi gimbap na zile side dishes..soju[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huku bongo kungekua na mgahawa wa subway,hawa watu kila drama wamo nikiangalia biashara yao ni mikate na juisi tu ila wana mbwembwe kibao.
Hali sio hali..mimi inanigomea kuanzia sa kumi na mbili inaanza kukubali saa moja na robo hivi siku nyingine sa mbili kasoro[emoji28] japo ikikubali speed ipo pale paleWapendwa mnaotumia Ha tunnel plus hali ikoje huko? Mimi nina siku mbili inanigomea sijui ni ttcl wamenikatia au shida nini
Ukitaka iconnect bila shida hakikisha unaweka hata shilling 5 au 10 kwenye TTcl kama salio la kawaida, uzuri TTcl wanaruhusu hata kununua salio la shilling 5 kwa Tpesa, kwahiyo nunua salio alafu connect hutapata usumbuf wowotHali sio hali..mimi inanigomea kuanzia sa kumi na mbili inaanza kukubali saa moja na robo hivi siku nyingine sa mbili kasoro[emoji28] japo ikikubali speed ipo pale pale
Ila ni movies jamanj mkumbuke. Hakuna mtu anaweza ku potray nchi yake kama iko poor kwenye jambo lolote hasa nchi zilizoendelea.[emoji23][emoji23][emoji23] Unaagiza kuku mzima unaletewa kuku mapaja hayalingani moja kubwa lingine dogo
Korea swala la huduma wapo vizuri mno..ambulance ni dk 0 ipo mlangoni
Nna list ya vyakula vya Korea navitamani mno aisee..kimchi gimbap na zile side dishes..soju[emoji23][emoji23]
Hivi tz soju ndo inaweza kuwa K vant ama?
Acha na vyote hivyo, embu jikite kwenye KIMCHI kwanza😄.Itakua au konyagi kabisa maana wakinywa soju wanakunja sura ila bia wala hawatikisiki kama kwenye soju
Mie zile tambi zao sijui ramiyeon,jajanjanjaaamieon😂😂😂😂,wanaweka hadi mayai ila sitamani ule mchanganyiko wa wali wanaochanganya vikorombwezo viiingi kwenye bakuli moja
Ila ni movies jamanj mkumbuke. Hakuna mtu anaweza ku potray nchi yake kama iko poor kwenye jambo lolote hasa nchi zilizoendelea.
In reality unaweza kukuta mambo hayapo hivyo japo kweli wametuzidi ila uzinguaji upo tofauti na mambo yanayoonyeshwa kwenye sinema.
Acha na vyote hivyo, embu jikite kwenye KIMCHI kwanza😄.
Mimi nafanya hivyo ila tabu iko palepaleUkitaka iconnect bila shida hakikisha unaweka hata shilling 5 au 10 kwenye TTcl kama salio la kawaida, uzuri TTcl wanaruhusu hata kununua salio la shilling 5 kwa Tpesa, kwahiyo nunua salio alafu connect hutapata usumbuf wowot
Hebu taja majina yake hapa huenda nikapata ya kuruka nayo weekend hii, kwenye hizo covers nimejua tu EMPRESS KI.Historical dramas ambazo main character ni mwanamke hazijawahi kuwa mbovu View attachment 2155038