Hata kwenye movie kuna uhalisia asilimia fulani ujueIla ni movies jamanj mkumbuke. Hakuna mtu anaweza ku potray nchi yake kama iko poor kwenye jambo lolote hasa nchi zilizoendelea.
In reality unaweza kukuta mambo hayapo hivyo japo kweli wametuzidi ila uzinguaji upo tofauti na mambo yanayoonyeshwa kwenye sinema.
Hebu taja majina yake hapa huenda nikapata ya kuruka nayo weekend hii, kwenye hizo covers nimejua tu EMPRESS KI.
Hii list naichukua nini ni mpenzi wa historical drama sana sana sana•Jewel In The Palace/Dae Jang Geum(2003)-Lee Young Ae
•Saimdang:Memoirs Of Colour(2017)-Lee Young Ae
•Painter Of The Wind(2007)-Moon Geun Young
•Jung Yi:Goddess Of Fire(2013)-Moon Geun Young
•King's Daughter Soo Baek Hyang(2013)-Seo Hyun Jin
•Dong Yi(2010)-Han Hyo Joo
•Hwang Jin Yi(2006)-Ha Ji Won
•Empress Ki(2014)-Ha Ji Won
•Hwajung(2015)-Lee Yeon Hee
•Jang Ok Jung(2013)-Kim Tae Hee
•Flower In Prison(2016)-Jin Se Yeon
•Iron Empress(2008)-Chae Shi Ra
•Queen Seon Deok(2009)-Lee Yo Won
•Red Sky(2021)-Kim Yoo Jung
Ebwana eeh nna kitonga hapa hadi napagawa drama ya kupakua.
Kuna style flani kwenye romantic dramas characters kabla ya kuwa in love wanaanzaga na uhasama flani na misunderstandings za kutosha.
Aliyeangalia hizi ukiachana na Suspicious Partner na My Love From Another Star tiririka.
Ukitaka kujaribu misosi yao kuna restraurant yao iko masaki kona ya kwenda ilipokua double tree hotel,panaitwa goongItakua au konyagi kabisa maana wakinywa soju wanakunja sura ila bia wala hawatikisiki kama kwenye soju
Mie zile tambi zao sijui ramiyeon,jajanjanjaaamieon😂😂😂😂,wanaweka hadi mayai ila sitamani ule mchanganyiko wa wali wanaochanganya vikorombwezo viiingi kwenye bakuli moja
Ukitaka kujaribu misosi yao kuna restraurant yao iko masaki kona ya kwenda ilipokua double tree hotel,panaitwa goong
Yan ukiagiza msosi kama wali na kitimoto ile wanachomaga juu ya meza unaletewa na side dishes za kutosha kama kwenye tamthilia zao vile😂😂😂!
Hizo ndio sehemu za kwenda sasa..Ukitaka kujaribu misosi yao kuna restraurant yao iko masaki kona ya kwenda ilipokua double tree hotel,panaitwa goong
Yan ukiagiza msosi kama wali na kitimoto ile wanachomaga juu ya meza unaletewa na side dishes za kutosha kama kwenye tamthilia zao vile[emoji23][emoji23][emoji23]!
Asilimia kubwa ya romantic drama huanza hivi. Naona young lady na gentleman wake walipelekana hadi polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] though sijui kama watakuwa wapenzi maana ndio kwanza niko episode ya nane. Kwenye hiyo list ya Numbisa ongezaEbwana eeh nna kitonga hapa hadi napagawa drama ya kupakua.
Kuna style flani kwenye romantic dramas characters kabla ya kuwa in love wanaanzaga na uhasama flani na misunderstandings za kutosha.
Aliyeangalia hizi ukiachana na Suspicious Partner na My Love From Another Star tiririka.
Asilimia kubwa ya romantic drama huanza hivi. Naona young lady na gentleman wake walipelekana hadi polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] though sijui kama watakuwa wapenzi maana ndio kwanza niko episode ya nane. Kwenye hiyo list ya Numbisa ongeza
It's okay not to be okay
Marriage, not dating
Emergency couple
Melting me softly
My Love from another star, ni bonge la romantic series. Natamani niwe sijawahi kuiona ili niianze upya.Ebwana eeh nna kitonga hapa hadi napagawa drama ya kupakua.
Kuna style flani kwenye romantic dramas characters kabla ya kuwa in love wanaanzaga na uhasama flani na misunderstandings za kutosha.
Aliyeangalia hizi ukiachana na Suspicious Partner na My Love From Another Star tiririka.
ROMANTIC DOCTOR, TEACHER KIM
ROMANTIC DOCTOR, TEACHER KIM 2
INTROVERTED BOSS
THE BRIDE OF HABAEK
THE HEIRS
LOVE IN THE MOONLIGHT
FIGHT FOR MY WAY
CRASH LANDING ON YOU
I’M NOT A ROBOT
Nakupenda, asante kwa hizi recommendations.☺️
Naicheki i am not a robotNice.Ulipoomba recommendations baada ya my name nikajishtukia nikadhan hizi umeshaangalia. Usisahau na prison playbook
Ka sejong katajizolea umaarufu mkubwa sana kwenye hii drama[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nampenda Se Chan mwana hip hopHalafu umenikumbusha weekend ndo hii nisubirie kudaka episode 49. gentleman ka sejong kapo vizuri
Prison playbook nimeiweka kwenye watchlistNice.Ulipoomba recommendations baada ya my name nikajishtukia nikadhan hizi umeshaangalia. Usisahau na prison playbook
Unaangalia Chingu mode [emoji1787][emoji1787]Naicheki i am not a robot
Inanifurahisha aisee
Thanks for recomending it,
Ka sejong katajizolea umaarufu mkubwa sana kwenye hii drama[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nampenda Se Chan mwana hip hop
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio swaga za hip hop hizo mamaSana tu maana kamechukua nafasi kubwa ndani ya drama. Se chan na nguo zake za oversize [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]