Nampenda Miss Wang..chizi sana huyu mama na kisauti chake kikaliHalafu umenikumbusha weekend ndo hii nisubirie kudaka episode 49. gentleman ka sejong kapo vizuri
jewel in the palace ya mapishi mapishi ilikua kali sana pale ITV•Jewel In The Palace/Dae Jang Geum(2003)-Lee Young Ae
•Saimdang:Memoirs Of Colour(2017)-Lee Young Ae
•Painter Of The Wind(2007)-Moon Geun Young
•Jung Yi:Goddess Of Fire(2013)-Moon Geun Young
•King's Daughter Soo Baek Hyang(2013)-Seo Hyun Jin
•Dong Yi(2010)-Han Hyo Joo
•Hwang Jin Yi(2006)-Ha Ji Won
•Empress Ki(2014)-Ha Ji Won
•Hwajung(2015)-Lee Yeon Hee
•Jang Ok Jung(2013)-Kim Tae Hee
•Flower In Prison(2016)-Jin Se Yeon
•Iron Empress(2008)-Chae Shi Ra
•Queen Seon Deok(2009)-Lee Yo Won
•Red Sky(2021)-Kim Yoo Jung
Alikuwa anarekebisha servers now zimejiupdate inaweza kukubaliwakuu wa kitonga mbona zile ads hazipo kama siku 3 sasa
Nampenda Miss Wang..chizi sana huyu mama na kisauti chake kikali
Adui asiyekera ndo huyu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale anapogundulika uovu wowote kwa mr lee anavyohangaika na kuogopa kufukuzwa burudani tosha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee kweli kila ntu na ntuwe...mimi nampenda sana yule binti yakeNampenda Miss Wang..chizi sana huyu mama na kisauti chake kikali
Nasubiria kiss scene kwa hamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale anapogundulika uovu wowote kwa mr lee anavyohangaika na kuogopa kufukuzwa burudani tosha
Unajua niliishia epison ya pili unanifanya niendelee nayoThe King of Tears Lee Bang Won [emoji1487][emoji1487]
Nimenyoosha mikono juu, kwa miaka mingi nimekuwa nikiitafuta drama ya historical kali ya miaka ya hivi karibuni, naweza sema ndio hii niliyokuwa nikiitafuta!
Bhaaaaaaasssssss
Hiiiiiih jamani au ni lile swala langu la kukata tamaa baada ya kuona episode moja au mbili?The King of Tears Lee Bang Won [emoji1487][emoji1487]
Nimenyoosha mikono juu, kwa miaka mingi nimekuwa nikiitafuta drama ya historical kali ya miaka ya hivi karibuni, naweza sema ndio hii niliyokuwa nikiitafuta!
Bhaaaaaaasssssss
ThanksNice.Ulipoomba recommendations baada ya my name nikajishtukia nikadhan hizi umeshaangalia. Usisahau na prison playbook
hii mm imenigomea apa
Hii force vpn ni APK inayopatikana google au ni hii iliyopo playstore?
The empress ki niliikubali Sana mwanamama ha ji won aliitendea haki Sana aliibeba hii drama kwenye mabega yake. Naomba unitajie majina ya drama ya picha ya 2 na ya 5Historical dramas ambazo main character ni mwanamke hazijawahi kuwa mbovu View attachment 2155038
Dong Yi & Flower In PrisonThe empress ki niliikubali Sana mwanamama ha ji won aliitendea haki Sana aliibeba hii drama kwenye mabega yake. Naomba unitajie majina ya drama ya picha ya 2 na ya 5