Asante mkuuDong Yi & Flower In Prison
Oiii thanks man mzigo upo vzuri
Hiyo ni noma nina masaa 24 ya bure bado ntaongeza mengine acha tuwatie hasaraOiii thanks man mzigo upo vzuri
Hii inafanya kazi hata kama hakuna data kabisa kwenye line ya Tigo?Oiii thanks man mzigo upo vzuri
Ndio ndio broHii inafanya kazi hata kama hakuna data kabisa kwenye line ya Tigo?
Ndio ndio bro
Hii force vpn ni APK inayopatikana google au ni hii iliyopo playstore?
The King of Tears Lee Bang Won [emoji1487][emoji1487]
Nimenyoosha mikono juu, kwa miaka mingi nimekuwa nikiitafuta drama ya historical kali ya miaka ya hivi karibuni, naweza sema ndio hii niliyokuwa nikiitafuta!
BhaaaaaaasssssssKatika historical drama ambayo sijaikubaki ni pamoja na hii, mwanzo niliielewa ila kadri inavyoendelea mpaka nimejikuta naichukia juzi nilikuwa naangalia episode za 19 na 20 niilishindwa kumaliza niakaachana nayo kabisa, kama una nyingine nzuri nipe niitafute!!!!
Me nimei download play storekuna swali hili la ninge unawezasaidia kujibu?
Numbisa...kuna swali hili la ninge unawezasaidia kujibu?
Numbisa...
Me nimei download play store
Inaonekana hiviView attachment 2161849
Nimeliona Numby, thanks
umeshakuwa professor, niruhusu nikutunuku hiyo heshima.ROMANTIC DOCTOR, TEACHER KIM
ROMANTIC DOCTOR, TEACHER KIM 2
INTROVERTED BOSS
THE BRIDE OF HABAEK
THE HEIRS
LOVE IN THE MOONLIGHT
FIGHT FOR MY WAY
CRASH LANDING ON YOU
IβM NOT A ROBOT
umeshakuwa professor, niruhusu nikutunuku hiyo heshima.
hivi maporofesa nao wanafanya graduation, kama ni hivyo ya kwetu sisi itafanyika kwenye mji wa Kyiv.
nimepata 5/9 kwenye list yako.
Nahisi kwako tu ila mimi natumia hata masaa mawili bila kuwa disconnected ila nahisi ukiconnect halafu ukaiacha simu kwa dakika kadhaa bila kutumia inajikataLinapokuja swala la VPN FORCE huku kwangu zinakuja server mbili tu yaani USA na INDIA, nyingine zote zinahitaji malipo. Hiyo sio mbaya, ila tatizo hizi server mbili zina disconnect sana yanu haipiti dk 5 ni lazima uconnect tena.
Hii shida ni kwangu tu ama ni kwa wote? Au labda kuna muda maalumu ambao hii shida haijitokezi??
mwishoni mwa episode 20The King of Tears Lee Bang Won
Nimenyoosha mikono juu, kwa miaka mingi nimekuwa nikiitafuta drama ya historical kali ya miaka ya hivi karibuni, naweza sema ndio hii niliyokuwa nikiitafuta!
Bhaaaaaaasssssss
je kushafika hiyo safari yako, nimemkumbuka yule mchumba wake khantwe aliyesema ameangalia drama zote za wakorea. sikukuu ya karibia, ulininyima wali wa kirisimasi, hasira hazijaisha. hutaonja keki wala sambusa za dae. hata muhogo wa ramadhan hutauonja... bado nimenuna kama putin wa magogoni ikuluπππππDae bana,niliendana na kasi zenu humu enzi naingia kdrama world nilijiona nimechelewa sana.