Niende wapi nikateseke Numby [emoji28][emoji28]ile ile haibadiliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niende wapi nikateseke Numby [emoji28][emoji28]
Lee Seung Gi and Lee Se Young officially confirmed to lead KBS drama Love According To The Law,
premiere on August 29.
View attachment 2204930
Polepole, watasikia Numby [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usagara mojaaaaa
episode zimeshiba 132 na 92 sio poaTafuteni King Gwangaetto na Dae joyoung mtakuja kunishukuru mno
Hakuna mseleleko kwenye zantel naombeni maujanjaHuu mwezi nimekuwa mzembe kutumia kitonga ipasavyo View attachment 2157573
Numbisa msaada kwenye Zantel mkuuMnaotumia Ha tunnel plus hivi ukiweka file likaconnect ukadownload asubuhi na kesho yake unalidownload upya hilo file? Maana yangu hayakai,natumia Asubuhi vizuri ila jioni nashangaa silikuti
Numbisa msaada kwenye Zantel mkuu
VPN kwajili ya laini ya zantel ambayo unaweza kupata kitongaMsaada gani
VPN kwajili ya laini ya zantel ambayo unaweza kupata kitonga
Tafuteni King Gwangaetto na Dae joyoung mtakuja kunishukuru mno
HA Tunel inanigomea wazee
hata me nimeiyona ya ovyo Sana haya mambo ya Mara inaonesha mwaka fulani Mara unarudishwa mwaka mwingine sipendiNimecheki ep 1 haijanishawishi pamoja na yule jamaa yenu mnaemzimia lee min ho mzee wa plastic surgery
Huyu mwanamama namkubali ile mbaya sema madirectors wanampangia characters za kipuuzi wanatakiwa aigize kama character aliyocheza kwenye The empress ki kupigana, katili kiasi fulaniHa Ji Won confirmed cast as female lead for KBS drama Curtain Call, she will act as Park Se-yeon who is the youngest daughter of Hotel Paradise’s founder and the general manager.
Broadcast in 2nd half of 2022.
View attachment 2204923