Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeenda google kuwaangalia wahusika,maana majina mageni. Akina noona hawanivutii sana napenda vituko vya akina ahjumma (vile vimbibi hasa vile vya nje ya seoul)na ahjussi na vile vi oppa hasa lips zao.

Nikianza kuangalia drama tu naweka macho ya kipevert kwa main actor na actress kwa muda nikiscan muda wa kissπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenichekesha eti upo tofauti, utofauti wako nini sasa....sisi tunavutiwa na wa kiume wewe unavutiwa na wa kike...ni kitu kilekile. Ila mimi wapo wa kike pia nikiwaona kwenye screen natamani niwachum[emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo Lee se young nampenda balaa, Mooon chae won , Kim se jeong, Park min young, Im yoona nawapenda kufa
 
Hivi animas yuko wapi jamani kapotea, bora Nifah huwa anakuja mara mojamoja kutusalimia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] perverted Numbisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…