Daah jama tufunge na kuomba kwa ajili ya nkiri.com
[emoji16][emoji16][emoji16] pole. Afadhali daah naona mateso yanaenda kuishaUmenishtua nikadhan kuna mtu anaumwa hali mbaya. Ila nkiri inakaribia kurudiView attachment 2321444
[emoji16][emoji16][emoji16] pole. Afadhali daah naona mateso yanaenda kuisha
Good for you, siku nikiwa na pa kuweka labda nitapakua kwa sasa hivi hapana ingawa nazipendaMie naendelea na kimoi maana nainjoi family dramas
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio poa, walitisha mnoo. Mr Queen umeicheki?Pamoja na drama nzuri zote ila kwangu mimi drama ambayo hadi leo nikiwaona wale actors nacheka sana na natamani niirudie ni ile welcome to waikiki tena ile season 1!
Kwenye hii drama walitisha sana ile crew yani hata ukiirudia unacheka kama ndo unaiona mara ya kwanza!
Ndio nimeicheki nayo unacheka balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio poa, walitisha mnoo. Mr Queen umeicheki?
Nadhani mimi nilicheka zaidi Mr QueenNdio nimeicheki nayo unacheka balaa
Sema hawa waikiki ni komesha kuanzia rebbecca adi wenye guest house[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mr.queen nayo ni ya kinamna namna ni historical drama ila very unique,hamna sehem nilicheka kama pale walipotangaza mfalme kafa afu mama ake akaanza kulia badae akaingia yule mr.queen mwenyewe akaanza kuangua bonge la kilio eti kaachwa adi na mtoto tumboni🤣🤣🤣🤣Nadhani mimi nilicheka zaidi Mr Queen
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anasema wanajifanya wanajua kuigiza...sasa tuzo ya Oscar nitachukua mimi leoIla mr.queen nayo ni ya kinamna namna ni historical drama ila very unique,hamna sehem nilicheka kama pale walipotangaza mfalme kafa afu mama ake akaanza kulia badae akaingia yule mr.queen mwenyewe akaanza kuangua bonge la kilio eti kaachwa adi na mtoto tumboni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashangaa sana kuona yule dada aliyecheza MR QUEEN, hazi nyingine nzuri za maana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio poa, walitisha mnoo. Mr Queen umeicheki?
Nashangaa sana kuona yule dada aliyecheza MR QUEEN, hazi nyingine nzuri za maana.
Ila mule alicheza vizuri sana.
Ukiacha ile alioigiza kama mlemavu yuko kwenye wheel chair zingine ni zipi alizocheza?Anazo nyingi mno
Unamaanisha hana kazi zingine za maana? Mbona kwenye My golden life mi naona kaupiga mwingi sanaNashangaa sana kuona yule dada aliyecheza MR QUEEN, hazi nyingine nzuri za maana.
Ila mule alicheza vizuri sana.
Google ipo kwaajili yako. Hiyo aliyoigiza mlemavu inaitwaje?Ukiacha ile alioigiza kama mlemavu yuko kwenye wheel chair zingine ni zipi alizocheza?
Ile inaitwa oh my ghost,Google ipo kwaajili yako. Hiyo aliyoigiza mlemavu inaitwaje?
View attachment 2322107
Google ipo kwaajili yako. Hiyo aliyoigiza mlemavu inaitwaje?
View attachment 2322107