Kimoi tv ina mb za kawaida ila kidogo ina mwanga sio mkali ukiachana na drama mpya ila Nkiri inq quality zaidi ya Kimoi Tv halafu ina mwanga mzuri then mb zake ni chache zaidi ya kimoi tv mfano Why Her unaipata kwa mb 80-100 wakati Kimoi Tv 140-150Kwani kimoitv na Nkiri zinatofauti gani mbona kama mimi naona ziko sawa tu.
Hayumo bwana, labda amechanganya na Slave huntersSix Flying Dragons hivi yupo mle??
Ila leo nimepigwa kwenye nkiri. Naambiwa mb zipo around 130 naanza kupakua nakutana na 165Kimoi tv ina mb za kawaida ila kidogo ina mwanga sio mkali ukiachana na drama mpya ila Nkiri inq quality zaidi ya Kimoi Tv halafu ina mwanga mzuri then mb zake ni chache zaidi ya kimoi tv mfano Why Her unaipata kwa mb 80-100 wakati Kimoi Tv 140-150
Naamini hizo zingine mbili ukiachana na let me introduce her zitakuwa nazo ni Kali wewe uniangushagiNimeangalia nyingi hadi nazisahau ila kuna hizi kama hujacheki ziwahi
Golden Rainbow
Let Me Introduce Her
Love In Sadness
Mkuu tulia nayo ni bonge moja la series ina story nzuri saaanaHii Alchemy of souls mbona siielewi aiseh?
Hii Alchemy of souls mbona siielewi aiseh?
Ila leo nimepigwa kwenye nkiri. Naambiwa mb zipo around 130 naanza kupakua nakutana na 165
Aaah ndo niko episode ya pili, nilitaka niulize kwanza kabla sijafanya maamzi ya kuitunza kabatini.Mkuu tulia nayo ni bonge moja la series ina story nzuri saaana
Ndo kwanza nipo episode ya pili, ngoja nijaribu kukomaa nayo.Nzuri hii,napenda scenes za jang Uk,Mu deak vs Crown prince au Mu deok na Crown Prince
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi naangalia wee, uvumilivu wa kusubiria mb 170 sina...utasema sio mimi nilikuwa napakua mb 300[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha,siku hizi siangalii mb kimoi au nkiri nadownload tu
Hii Alchemy of souls mbona siielewi aiseh?
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kimoi tv ina mb za kawaida ila kidogo ina mwanga sio mkali ukiachana na drama mpya ila Nkiri inq quality zaidi ya Kimoi Tv halafu ina mwanga mzuri then mb zake ni chache zaidi ya kimoi tv mfano Why Her unaipata kwa mb 80-100 wakati Kimoi Tv 140-150
Hii list bila Chuno ni batili🤣🤣Jang Hyuk hajawahi kushirki kwenye kazi mbovu na ni miongoni mwa wakorea wanaovuta mpunga mrefu kwenye tasnia.
HIDEN ROOTS
SIX FLYING DRAGONS( nahisi ndiyo hiyo ya juu)
SHINE OR GO CRAZY
IRIS 2
THE VOICE
BLOODY HEART.
Kwenye hizo series zote( nilizobahatika kuziona) hajawahi kukosea.
Alchemy of souls ep17 imeishia pazuri daaah
Kumbe hii drama ni balaa
Niliitazama ep 1 usiku nikaiogopa, kesho yake nimetizama episode sita
Sitamani hataa iishe na nnavyoenda speed
Nimeivuta ep 17 ila sitaiangalia mpaka zitoke zote tatu zilizobakia. Kama naiona dalili ya season 2 hivi
Na wanaitoa kidogo kidogo kwanini
Nimeishusha had hiyo.