Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Kimoi tv ina mb za kawaida ila kidogo ina mwanga sio mkali ukiachana na drama mpya ila Nkiri inq quality zaidi ya Kimoi Tv halafu ina mwanga mzuri then mb zake ni chache zaidi ya kimoi tv mfano Why Her unaipata kwa mb 80-100 wakati Kimoi Tv 140-150Kwani kimoitv na Nkiri zinatofauti gani mbona kama mimi naona ziko sawa tu.