Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwani kimoitv na Nkiri zinatofauti gani mbona kama mimi naona ziko sawa tu.
Kimoi tv ina mb za kawaida ila kidogo ina mwanga sio mkali ukiachana na drama mpya ila Nkiri inq quality zaidi ya Kimoi Tv halafu ina mwanga mzuri then mb zake ni chache zaidi ya kimoi tv mfano Why Her unaipata kwa mb 80-100 wakati Kimoi Tv 140-150
 
Ila leo nimepigwa kwenye nkiri. Naambiwa mb zipo around 130 naanza kupakua nakutana na 165
 
Kimoi tv ina mb za kawaida ila kidogo ina mwanga sio mkali ukiachana na drama mpya ila Nkiri inq quality zaidi ya Kimoi Tv halafu ina mwanga mzuri then mb zake ni chache zaidi ya kimoi tv mfano Why Her unaipata kwa mb 80-100 wakati Kimoi Tv 140-150
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Ubaya ni kuwa quality ikiwa chini na drama inaonekana mbaya, wiki iliyopita nilipakuwa Chief Kim episode tatu kutoka kimoi sikufika hata nusu ya episode ya kwanza nikaifuta, kwanza nilikuwa hata siielewi. drama hiyohiyo nimeipakua nkiri quality nzuri imekuwa tofuti kabisa
 
Nimeamini kweli Kimoi inapita na MB kuliko Nkiri, wakati huohuo quality ipo vizuri zaidi Nkiri.
Screenshot_20220818-210125.jpg
 
Jang Hyuk hajawahi kushirki kwenye kazi mbovu na ni miongoni mwa wakorea wanaovuta mpunga mrefu kwenye tasnia.

HIDEN ROOTS
SIX FLYING DRAGONS( nahisi ndiyo hiyo ya juu)
SHINE OR GO CRAZY
IRIS 2
THE VOICE
BLOODY HEART.

Kwenye hizo series zote( nilizobahatika kuziona) hajawahi kukosea.
Hii list bila Chuno ni batili🤣🤣
 
Back
Top Bottom