Kuna uhusiano gani wa kukimbiza farasi huku ukipiga kelelee!!!
Hiyaa!!!
Hayaaa!!!
Yaaaa!!!
OOOhhhhhh!!!
Kwa wale wanaoangalia historical drama itakuwa wamenielewa
Na kuna ule gesture mtu akiongea kitu mbele za watu ambacho mtu fulani anahisi hakikutakiwa kuongelewa, basi anakohoa huku anajibana "ohoo" [emoji23]Kuna uhusiano gani wa kukimbiza farasi huku ukipiga kelelee!!!
Hiyaa!!!
Hayaaa!!!
Yaaaa!!!
OOOhhhhhh!!!
Kwa wale wanaoangalia historical drama itakuwa wamenielewa
Waliokaa vijijini kuendesha tela la punda au ng'ombe hapo wanaelewa zaidiKuna uhusiano gani wa kukimbiza farasi huku ukipiga kelelee!!!
Hiyaa!!!
Hayaaa!!!
Yaaaa!!!
OOOhhhhhh!!!
Kwa wale wanaoangalia historical drama itakuwa wamenielewa
Sio ADAMAS hiiKuna drama niliangalia mda kidogo ila sikumaliza nimesahau jina nataka niitafute nimalizie. Story ni ndugu walipotezana wakiwa wadogo baada ya Baba yao aliyekuwa anafanya kazi katika construction company kufariki kwa ajali kazini ila kampuni wakaficha so madogo wakapata tabu growing up ila watakuja kulipiza kisasi baadae. Please kwa anayekumbuka jina anifahamishe.
Ghafla mtaanza jaa mbele ya Hotel watanza hisi mnalogaMkuu nipo Nipo Mwanza unaweza nisaidia Nywila Pm nikashushe mzigo
Japo ilisifiwa ila haikunivutia na niliishia epesode ya 8 tu, mpangilio wa story haukuwa unaeleweka kabisaSio ADAMAS hii
Sijaelewa hapa unamaanishajeKulingana na utafiti wa mchongo niliofanya asilimia zaidi ya 65% ya watu utaowaona kwenye historical dramas hasa za Joseon ni wanawake[emoji16]View attachment 2399702
Sio ADAMAS hii
Giant drama?Kuna drama niliangalia mda kidogo ila sikumaliza nimesahau jina nataka niitafute nimalizie. Story ni ndugu walipotezana wakiwa wadogo baada ya Baba yao aliyekuwa anafanya kazi katika construction company kufariki kwa ajali kazini ila kampuni wakaficha so madogo wakapata tabu growing up ila watakuja kulipiza kisasi baadae. Please kwa anayekumbuka jina anifahamishe.
Na kuna ule gesture mtu akiongea kitu mbele za watu ambacho mtu fulani anahisi hakikutakiwa kuongelewa, basi anakohoa huku anajibana "ohoo" [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni hii aliyokuwa akiitafuta, hili ni bonge moja la drama kulingana na story yake ilivyosukwa.Giant drama?
View attachment 2399821
Labda itakua "I can hear your voice?"Kuna drama niliangalia mda kidogo ila sikumaliza nimesahau jina nataka niitafute nimalizie. Story ni ndugu walipotezana wakiwa wadogo baada ya Baba yao aliyekuwa anafanya kazi katika construction company kufariki kwa ajali kazini ila kampuni wakaficha so madogo wakapata tabu growing up ila watakuja kulipiza kisasi baadae. Please kwa anayekumbuka jina anifahamishe.
Inaitwaje hii[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2400605
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2400605
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] humu wapenzi wa aina hiyo tupo wachache...ngoja na mimi niiweke kwenye listKumbe Why Her ni moto na mmefanya siriii!
Ila ndo kwanza nipo ep ya tatu[emoji3]