Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna drama niliangalia mda kidogo ila sikumaliza nimesahau jina nataka niitafute nimalizie. Story ni ndugu walipotezana wakiwa wadogo baada ya Baba yao aliyekuwa anafanya kazi katika construction company kufariki kwa ajali kazini ila kampuni wakaficha so madogo wakapata tabu growing up ila watakuja kulipiza kisasi baadae. Please kwa anayekumbuka jina anifahamishe.
 
Kuna uhusiano gani wa kukimbiza farasi huku ukipiga kelelee!!!

Hiyaa!!!
Hayaaa!!!
Yaaaa!!!
OOOhhhhhh!!!

Kwa wale wanaoangalia historical drama itakuwa wamenielewa
Na kuna ule gesture mtu akiongea kitu mbele za watu ambacho mtu fulani anahisi hakikutakiwa kuongelewa, basi anakohoa huku anajibana "ohoo" [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna drama niliangalia mda kidogo ila sikumaliza nimesahau jina nataka niitafute nimalizie. Story ni ndugu walipotezana wakiwa wadogo baada ya Baba yao aliyekuwa anafanya kazi katika construction company kufariki kwa ajali kazini ila kampuni wakaficha so madogo wakapata tabu growing up ila watakuja kulipiza kisasi baadae. Please kwa anayekumbuka jina anifahamishe.
Sio ADAMAS hii
 
Kulingana na utafiti wa mchongo niliofanya asilimia zaidi ya 65% ya watu utaowaona kwenye historical dramas hasa za Joseon ni wanawake[emoji16]
20221027_195341.jpg
 
Kuna drama niliangalia mda kidogo ila sikumaliza nimesahau jina nataka niitafute nimalizie. Story ni ndugu walipotezana wakiwa wadogo baada ya Baba yao aliyekuwa anafanya kazi katika construction company kufariki kwa ajali kazini ila kampuni wakaficha so madogo wakapata tabu growing up ila watakuja kulipiza kisasi baadae. Please kwa anayekumbuka jina anifahamishe.
Giant drama?
1666896872009.png
 
Labda itakua "I can hear your voice?"
 
Back
Top Bottom