Hii list bila ya" Athena" ni batiliNimekuwa mfuatiliaji wa korean drama enzi na enzi toka kipindi iko hawa watu wananivutia sana wapo seriours na kazi toka enzi hizo za kina
jumong
Slave hunter
Yi san {wind of palace}
JOOn wo Chi
Emperor of the sea
3Days
Emperor Ki
Warrior baek dong-soo
Bichunmoo
Queen seondeok
Gu family book
Bridal mask
moon lover
The night of witchman
na nyingine kali za kipindi iko mpaka hii leo 2022 nimeangalia filamu mingi sana za korea kuna filamu kali kama
innocent defendant
secret
The lover
IRS
king's affection
Arthdal Chronicles
Alchemy of souls
Ghost doctor
Pachinko
Mr Qeen
Mouse
The last empress
money heist
Sqeed game
tomorrow
the sound of magic
all of us are dead
the gurdian
Mingi sana nyingine nmesahau but tafuta filamu hizo utajua hawa watu wanajua sana
Athena sikuielewa kabisa ni kama walicopy sana IRIS.H
Hii list bila ya" Athena" ni batili
Akina Inno wapo wengi kumbeH
Hii list bila ya" Athena" ni batili
karibu tena.......Shukurani Daemushin
Sio walicopy,ni kama muendelezo wake kabla ya IRIS 2
Kwa anaependa ongoing km mimi kindly usiache kucheki hizi:
[emoji117]Blind
[emoji117]The Golden spoon
[emoji117]One dollar lawyer
[emoji117]Empire Law
[emoji117]Under the Queen umbrella
Kulingana na utafiti wa mchongo niliofanya asilimia zaidi ya 65% ya watu utaowaona kwenye historical dramas hasa za Joseon ni wanawake[emoji16]View attachment 2399702
Rookie Historian Goo Hae RyungHyo movies inaitwajee mzee
Nasubiri zote niziangalie kwa pamojaNimetizama Medical drama nyingi ila hiii Dr romantic mwisho wa matatizoo zile scene za OR ni fire man
Ingia DramacoolNatafuta hizi series
My love is from another star ya mwaka 2013
Mimi na utabe wangu sijawahi kuicheki hio ngoma itabidi niitafute.
Kuna kafeeling flani kuziona zile icons nilichogunduaNimerudi zangu Kissasian now nimeshindwa kuvumilia kuangalia dramas za tvn,kbs,mbc na sbs ambazo hazina icon pale juu.
Jina la hiyo drama tafadhali,family drama ni genre yangu nyingine pendwaKuna family drama moja. Jamaa kijana tu kaajiriwa kama mtu wa mapokezi sasa ile siku ya kwanza tu akasimama reception akisalimia kila anayeingia kwa sauti kubwa. Boss wake akamuuliza hivi kuna ancestors wako aliefariki bila kutoa salamu,mbona salamu nyingi hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naombeni link ya kupata Jang_Yeong Sil ya Song ill gook,Six fying dragon na King Dae Jong .
Wakuu mwenye kujua hii Movie ya KUNDO inapopatikana naomba aniwekee link hapa. Maana nimeona imesifiwa na watu wenye taste kama yangu.
Natanguliza shukurani
Asante nilishaipata toka kwa DaemushinWatch full episode of Kundo: Age of the Rampant | Korean Drama | Dramacool
Watch full episode of Kundo: Age of the Rampant Korean drama | Dramacoolwww1.dramacool.cr
Hivi icon ipi mnazungumzia?Kuna kafeeling flani kuziona zile icons nilichogundua
Jina la hiyo drama tafadhali,family drama ni genre yangu nyingine pendwa
Hivi icon ipi mnazungumzia?