Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakuu mi ni mpenzi wa tradditional drama zenye mapigano na stori nzuri nimedownload Warrior Baek Dong Soo najuta ni mbaya sana ,

Mwenye list ya drama zenye stori na mapigano makali kama Six Flying Dragon anifurahishe
 
Mkuu Warrior Baek Dong Soo Sijaipenda kwani mapigano sio ya kiufundi na stori haieleweki
Kama unajua zile kalikali kama Six Flying Dragon n.k nipe list (za kijijini)
Eti Baek Dong Soo ni mbaya? Duuuuuh!
Tatizo umeshazoea uongo wa kwenye six flying dragon huwezi drama za ukweli.
 
mkuu msaada wa link nitakayoweza kupakua drama ya kikorea inayoenda kwa jina la Arrows on the bowstring, kwenye hizo links ulizoweka sikupitia zote ila nimeitafuta bila mafanikio


Mkuu,
"Arrows On the Bowstring" ni drama ya kichina, sio Korea.

__________
Pakua kutoka hapa. (Imetafsiriwa kwa Kiswahili).

OR:
Ipakue kutoka kwenye links za chini. (Haina English Subtitles).
Nimejaribu kutafuta subtitles zake ila sikufanikiwa.
LINK #1
LINK #2
 
Eti Baek Dong Soo ni mbaya? Duuuuuh!
Tatizo umeshazoea uongo wa kwenye six flying dragon huwezi drama za ukweli.
Ulinishawishi sana chief ila stori yake mi binafsi inanichosha maadui na mastaa wanadekezana sana
 
Mkuu Warrior Baek Dong Soo Sijaipenda kwani mapigano sio ya kiufundi na stori haieleweki
Kama unajua zile kalikali kama Six Flying Dragon n.k nipe list (za kijijini)
Mkuu una mawazo kama yangu. Ni nzuri lakini sio nzuri kama inavyosifiwa...kwangu mimi siwezi kuilinganisha na empress ki, the moon that embraces the sun..kwangu mimi hizi ndo kali kuliko zote nlizoangalia
 
Mkuu una mawazo kama yangu. Ni nzuri lakini sio nzuri kama inavyosifiwa...kwangu mimi siwezi kuilinganisha na empress ki, the moon that embraces the sun..kwangu mimi hizi ndo kali kuliko zote nlizoangalia
Nadownload hizo nizicheki hii warrior bk wanadekezana sana hakuna uadui sirias kama Jumong na nyinginezo
 
Happy birthday Park Shin Hye.
Jana ilikua tarehe 18 February ilikua ni tarehe ya kuzaliwa kwake Muigizaji Maarufu wa kike wa kikorea aitwaye Park Shin Hye.


HISTORIA YAKE KIUFUPI.
Amezaliwa mwaka 1990,February, 18 mpaka sasa Ana miaka 27,ambapo alitimiza Jana.
Alipozaliwa South Korea na anapoishi mpaka sasa.
TUZO ALIZOBEBA NI NYINGI ILA NAOLOZESHA CHACHE TU.
Tuzo ya kwanza kuchukua au kushinda inaitwa:
SBS Drama Awards mwaka 2003 alishinda kama Best Young Actress.
Tuzo ya pili.
Ilikua mwaka 2007.
Alishinda tuzo za MBC Enternment kama Best Newcomer in Female Variety Show.
Na nyingine mwaka huo huo alishinda kama Muigizaji bora wa kike anayechipukia(Best New Actress) katika Tuzo za MBC drama awards.


Hapa akiojiwa katika kipindi cha "Star Talk" chaneli name Hong Kong TV J2.

DRAMA ALIZOIGIZA NI PAMOJA NA:
-stairway to Heaven
-Doctor Crush
-Pinocchio
Na nyengine nyingi.
WEBSITE YAKE.
박신혜 - S.A.L.T.(솔트) 엔터테인먼트



PARK SHIN HYE.

Hayo mengi na machache kuhusu
Park Shin hye Happy Birthday!!!
 
night wtchman
deep rooted tree
mandate of heaven
joseon gunman
arang & magnistrate
maids
jackpot/royal gambler
4Gods
ninetailed fox
sunghyunkwan scandal
merchant gaekju
chilwu the almight
joon woo chi
three musketers
great queen
scholar who walks the night
secret door
dr jin
faith
horse doctor
yeoungsil
3kingdoms
emperor of the sea
empress ki
 
Zipo nyingi sana hujaziona.
Iljimae.
East of Eden.
The return of iljimae.
Shine or go crazy.
Swallow of the sun.
Triangle.
Giant.
Road no 1.
Real Monster.
Healer.
Mr black.
Mkuu ilijimae na the return of ilijimae ni tofauti?
 
Hizo zote sijaziona..!
Ngoja nizitafute mkuu...
Mimi napenda sana historical drama ambazo jambia zinapigwa mwanzo mwisho..!
kwakweli..
mimi ni mpenzi wa historical
ni mwendo ma majambia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
sio vibunduki na modo za mjini[emoji23]
 
Nimeipenda sana tv series Emperor wang gun (taejo wang gun). Inamatukio mengi na mazuli ya kusisimua hususan kwa wapenda harakati za namna moja ama nyingine ktk kutafuta uhuru wa watu wa falme tatu ambazo kwa miaka takriban 300 ilikuwa ikiongozwa na shilla kuanzia miaka ya 660s hadi 900s baada ya king mohyool (kim chun chu) kuziangusha baekje na goguryeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…